Matamasha ya kibongo ulinzi ni mdogo sana wengi wanapenda kufurahi ila ukiwaza usalama wako ukiwa ndani ya tamasha na nje na ukarudi salama na mali zako zote mshukur mungu😂
Sema yoooooh,
piga keleleeeee
niendelee nisiendeleeee!
Kama ni live uwakute akina Damien Soul,JIDE,Banana Zorro,Grace Matata lakini hawa wengine aibu tupu