Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

Mtandao ulinizidi nguvu ,nikaona yakheri nijitoe ,ilinipa shida mwanzoni,ila sasa nishasahau kbsa ,kikubwa ni matumizi ya wakati ,kila nilikuwa nikishika simu ,mikono iko programmed kufungua fb ,na nikiingia nakula muda wa kutosha ,niliyoyapanga hayaendi kwa wakati,nikaamua kutoka
 
Stumii Facebook, ila nimekupa like kwenye comment yako! Sio ujanja kutumia mtandao flani au kutotumia mtandao flani....hata jf mbona kuna watumiaji wake baadhi ni wajinga kuliko hata wa hiyo mitandao mingine ambayo baadhi wanaona ni ya kijinga!
Humu mabogas yapo mengi sana ila yanajifanya majanga kwa kuwa wanatumia fake ID. Mi natumia FB.
 
Hahaaaaa, unaweza waita "keyboard and fake ID warriors"
 
mtandao wa jamii forum zamani ulikuwa mzuri ila umeingiliwa na vijana kata K na watoto wa secondary umekuwa ovyo sana kupata habari za maana ni nadra sana
 
UNAJUA TRENI NI MOJA LAKINI KUNA MADARAJA;- LA KWANZA, LA PILI NA LA TATU.
MITANDAO YA KIJAMII INA MADARAJA PIA,

WATUMIAJI WA TWITTER, LINKEDIN, PINTEREST NI MITANDAO YA WANAO JIELEWA, WAKO VIZURI KICHWANI.

WATUMIAJI WA FACEBOOK, WENGI NDIO KAMA WALE WAUMINI WA ZUMALIDI.
KULE KUNA WATU WANA AMINI KUNA MIKOPO INATOLEWA NDANI YA MASAA 24,
NA MASHARTI YA MKOPO, USIWE NA DHAMANA!



NA USISAHAU MARAFIKI WANAFANANA TABIA!
 
Natumia sana facebook hasa kupata habari za michezo na mambo ya kidini na mambo ya kibiashara

Personality yangu ni mtu wa kupenda utani sana na mtema pumba za hapa na pale

So a good place to meet na raia za aina hii ni facebook.
 
U
jakosea mkuu
 
Unatambua kuwa Twitter sikuiz kumejaa malaya na jobless wenye matusi ya haraka haraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…