Kwanini hawa watu hawajulikani walipo siku hizi?

Kwanini hawa watu hawajulikani walipo siku hizi?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Tokea kuanza kwa kuchangamka JF Nakumbuka kipindi hicho sijabadili username, kuna watu hawa ndo walitawala hapa JF
1. malcolm Lumumba
2. Kagemro
3. Paul Makonda
4. BAK
5. @Ocampor Four
6. faiza Foxy
7. Pascal Mayalla
8.@Mnyika
9. @otorongongo

Hawa na wengine wengi wanaanza kuikwepa JF taratibu sababu nini? Au kuna forums nyingine mko huko au mmebadili majina?
 
Back
Top Bottom