Kwanini hawakufikiria SGR kupita SINGIDA wakaipitisha ITIGI

Kwanini hawakufikiria SGR kupita SINGIDA wakaipitisha ITIGI

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
 
Kuna mbunge wa singida mjini aliyeanguka kura za maoni alirema kale ka kipande cha manyoni to singida nacho katajengwa sgr. Sijui alikuwa na maana gani kipande hicho kifupi kinachoishia singida nacho kiwe sgr!
 
Back
Top Bottom