ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Sep 19, 2025 #1 Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
E Extra focus JF-Expert Member Joined Mar 28, 2021 Posts 662 Reaction score 1,297 Sep 19, 2025 #2 ndege JOHN said: Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpk tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora. Click to expand... Gharama ya compensation ingekuwa kubwa sana ndo maana wamejitahidi kupita pembezoni na kuifuata MGR
ndege JOHN said: Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpk tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora. Click to expand... Gharama ya compensation ingekuwa kubwa sana ndo maana wamejitahidi kupita pembezoni na kuifuata MGR
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Sep 19, 2025 #3 Kuna mbunge wa singida mjini aliyeanguka kura za maoni alirema kale ka kipande cha manyoni to singida nacho katajengwa sgr. Sijui alikuwa na maana gani kipande hicho kifupi kinachoishia singida nacho kiwe sgr!
Kuna mbunge wa singida mjini aliyeanguka kura za maoni alirema kale ka kipande cha manyoni to singida nacho katajengwa sgr. Sijui alikuwa na maana gani kipande hicho kifupi kinachoishia singida nacho kiwe sgr!