Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mhh kuuziwa mbuzi kwenye gunia yale yale ya kununua simu ubungo!
Vijana wa kileo, wa siku hizi,
wake kwa waume, kwanini hawaoani hadi wameonjana?
Wengine ndio wananogewa hadi wanabeba mimba kabisa?
kule kwetu uchagani tunasema "shake well before use"
mh!mpendwa hapa naona GENDER HAIJAZINGATIWANi sawa tu onjaneni kwani kuna tatizo kama utakuta kibamia uwe na Exprience nacho hata mkijawekana ndani kusiwepo mambo yale ya ningelijua huyu kuku nisingemla ..
Sio yale mambo ya ooh mme wangu ana kibamia thatha mie nitafanyaje utajua mwenyewe cha kufanya
Ooh mme wangu bado hajapelekwa jandoni kuchunwa ngozi ... mpeleke mwenyewe ...
Ni sawa tu onjaneni kwani kuna tatizo kama utakuta kibamia uwe na Exprience nacho hata mkijawekana ndani kusiwepo mambo yale ya ningelijua huyu kuku nisingemla ..
Sio yale mambo ya ooh mme wangu ana kibamia thatha mie nitafanyaje utajua mwenyewe cha kufanya
Ooh mme wangu bado hajapelekwa jandoni kuchunwa ngozi ... mpeleke mwenyewe ...
Wachagga mna mambo...
Na nyie siku hizi mwatumia Kiingereza kama wale ndugu zangu wa Bukoba??
Those we wait.............wewe umeweza/uliweza?I think ppl are losing their dignities...following so called European life style which I dont believe suits us or still following Chagulaga tradition where i beliave women have been abused badly...
being an optimistic person I believe that there are those who still wait till they get married... I am totally against premarital sex