Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

Dkt Magufuli ilikuwa hulka yake kusikiliza kero kwa wananchi. Hata alipokuwa waziri, anapokuwa ofisini aliweza kutoka nje ya ofisi yake na kuwasililiza wananchi waliojitokeza na shida mbali mbali na kuzitatua hapo hapo. Unajua watanzania hatupendani, wewe ukitaka kujua hatupendani nenda kwa mkuu wa wilaya halafu sema una shida naye uone mlolongo wa ukiritimba utaopewa. Kwa ujumla viongozi Tanzania ni miungu watu, na ndiyo maana tunahitaji uongozi wa kizazi kipya ambacho kitasema tupunguze matumizi ya v8, tupunguze majimbo ya uchaguzi, balaza la mawaziri liwe na watu 12 tu etc. lakini sasa hivi viongozi watatumbua hela utadhani wanaenda shambani
 
Mtu yeyote anayependa maguvu ndio tabia yake, anajua hawezi kukaa mezani akapambana kwa hoja.

Lakini pia watu wanaotumia maguvu kuamua Wana tatizo la afya ya akili.
 
Ndo KAZI ya uraisi hio sio kukaa ofisini lazima utoke usikilize kero za wananchi wako.
Watendaji wa kiswahili bila kiboko hawaendi thus nilimpenda mjerumani aliijenga hii nchi kwa viboko mswahili bila fimbo aendi kwa sababu mswahili ana ubongo na sio akili
 
Hiyo ndio SIFA Moja ya kiongozi zurumiwa shamba au mpaka wa kiwanja na jirani Yako HAKI AMUNGU UTAMWITA MWENYEKITI, BALOZI, KATIBU DIWANI MKUU WA MKOA WILAYA POLICE ila hekima ya kutatua akatokea makonda au pole pole akatatua Hilo kama halijakufika hujui chochote
 
alikuwa na matatizo makubwa ambayo hayafai kuyasema!
Mkuu kikbwa ni kutokumuongelea vibiya pia ule mfumo wa kutoruhusu watu kutoa ya moyon, imesababisha storiez nyingi kuibuka akiwa hayupo.
 
Yaani, ni kweli, Mimi Hadi ni miezi 14 niliomba miadi mkuu mmoja wa kitaifa Dodoma Hadi baado iiih !
 
Bila shaka umemis mkuyenge wa shujaa
 
Mimi kama mwananchi mzalendo nilifaidika sana na ziara ya magufuli.Kuna kigogo Moja wa serikali alitaka kutumia cheo chake kuninya g'anya mwashamba yangu lakini alipokuja magufuli hiyo sehemu nika nikaitoa hiyo kero mbele yake na akaulizwa akawa anajikanyagakanyaga.Toka hapo ikaamuliwa nisisumbuliwe Tena Hadi Leo hajanisumbua .Magufuli alisaidia sana na siyo huu mzanzibari am aye kazi yake ni kurembua macho tu
 
Una uhakika alikuwa anahukumu kesi au alikuwa anasikiliza malalamiko ya watu?
 
Hitler anasimuliwa tu kama historia kama ilivyo kwa Nyerere, ila Magufuli anaongelewa kama bado yupo vile na anafanya maamuzi na ndio maana hatuoni Mkapa wala Mzee mwinyi kuzungumziwa humu kama ilivyo kwa Magufuli.
Kinachofanya Magufuli aongelewe ni mtawala wa hivi karibuni, na wala haongelewi kwa hivyo, maana anayeongelewa sana ni Samia bila kujali ni + au -
 
Kinachofanya Magufuli aongelewe ni mtawala wa hivi karibuni, na wala haongelewi kwa hivyo, maana anayeongelewa sana ni Samia bila kujali ni + au -
Samia haiepukiki kuongelewa kwa sababu bado ni kiongozi hivyo kila anachofanya lazima watu wajadili ila ajabu mwaka wa nne huu ila bado anafungua uzi kumkosoa Magufuli kwa vitu ambavyo havipo tena.
 
Samia haiepukiki kuongelewa kwa sababu bado ni kiongozi hivyo kila anachofanya lazima watu wajadili ila ajabu mwaka wa nne huu ila bado anafungua uzi kumkosoa Magufuli kwa vitu ambavyo havipo tena.
Weka uzi ulioanzishwa mwaka huu hapa jf ukimuongelea Magufuli.
 
Yule Ni Mwanamke Kurembua Haswa Kwa Wanawake Waliobarikiwa Jicho Ni Sunnah,,,Jandoni Ulifunzwaje Little Gentleman?
 
Yule alikua Rais mpenda sifa na kutia aibu kwa mlengwa .
Ila ile ilikua inampa sanaumaarufu wa kupendwa
 
Ilikuwa kiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…