Andrew john
Senior Member
- Mar 10, 2009
- 110
- 121
Mzee ni kama alikuwa na hasira zake na watu binafsi akaamua kuwaangamiza wengi, mama akiona inafaa atawakumbuka maana hawakuwa na kosa lolote kupunguziwa mishahara Yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao TMAA mishahara yao ni modogo??Una wanga mkuu. Wewe ni wa kule kule usukumani gang..? Watz tunalipwa tumshahara tudogo saaba afu upunguzwe tena..? Si tuta dead meen. Tuwe na fikra fikirishi
Yeah inatakiwa hiwe ivyo ili tujenge kwanza uchumi wa inchUna wanga mkuu. Wewe ni wa kule kule usukumani gang..? Watz tunalipwa tumshahara tudogo saaba afu upunguzwe tena..? Si tuta dead meen. Tuwe na fikra fikirishi
Ukishaona mtu anawatukana wengine huko akiwepo mwenyewe pia, ujue kashachoka maisha...tuongelee point mmoja tu ili isiwe ndefu...kama hizo stress zinatokana na mambo za kiuchumi, ujue ni mtu hana akili kubwa sana lakini anadhani vinginevyo.. AU, ana akili sana na bahati (fursa) pia anazo lakini hayuko kwenye sehemu/wakati inayomstahili... Akae afikirie mwenyewe na achukue hatua atakayeona inamfaa... tumechoka kutukanwa!Kwanz huyo mtoa mada anafaham au keshawai kwenda pale TMAA akashuhudia kinachoendelea?.. ujue miTz ni mipumnavu sana... Kuna siku niliwai enda pale kuoima mawe yangu fulan.. kwanza ofis chafu.. hakuna cha maana .. lab zao chafu.. walijibu ohh reagent zmeisha.. had zije ndo niende.. nkasema kwel???.. ni hak yao kupunguziwa mishahara... Pu.mbav kabisa.. mtoa mada nae ni popoma.. na wachangiaj nao ni mapopoma
Sio TAMWA, ni TMAAhao TAMWA mishahara yao ni modogo??
TAMWA tena?hao TAMWA mishahara yao ni modogo??
Mnalelewa na familia au mariooHivi watanzania tusiolipwa mishahara tunaishije[emoji23]