Kwanini Hayati Magufuli aliwapunguzia mishahara watumishi wa TMAA?

Mzee ni kama alikuwa na hasira zake na watu binafsi akaamua kuwaangamiza wengi, mama akiona inafaa atawakumbuka maana hawakuwa na kosa lolote kupunguziwa mishahara Yao.
 
Una wanga mkuu. Wewe ni wa kule kule usukumani gang..? Watz tunalipwa tumshahara tudogo saaba afu upunguzwe tena..? Si tuta dead meen. Tuwe na fikra fikirishi
hao TMAA mishahara yao ni modogo??
 
Una wanga mkuu. Wewe ni wa kule kule usukumani gang..? Watz tunalipwa tumshahara tudogo saaba afu upunguzwe tena..? Si tuta dead meen. Tuwe na fikra fikirishi
Yeah inatakiwa hiwe ivyo ili tujenge kwanza uchumi wa inch
 
Ukishaona mtu anawatukana wengine huko akiwepo mwenyewe pia, ujue kashachoka maisha...tuongelee point mmoja tu ili isiwe ndefu...kama hizo stress zinatokana na mambo za kiuchumi, ujue ni mtu hana akili kubwa sana lakini anadhani vinginevyo.. AU, ana akili sana na bahati (fursa) pia anazo lakini hayuko kwenye sehemu/wakati inayomstahili... Akae afikirie mwenyewe na achukue hatua atakayeona inamfaa... tumechoka kutukanwa!
 
Hivi watanzania tusiolipwa mishahara tunaishije[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…