Kwanini hela ya figisu haikai na haifanyi maendeleo?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wadau.

Kama tunavyojua sote tunapata pesa kwa magumashi kwa namna moja au nyingine...

Kutapeli, kuiba, kudanganya, kufoji nyaraka, kutoa rushwa, mazindiko kwa waganga nk...Pesa isiyo na jasho.

Pesa yake haikai aisee, yaani ikifanya kitu cha maendeleo baadae kinacollapse! Totally lazima irudi tu kwa mwenyewe.

Wajuvi naombeni sababu.
 
Ushatapeli itakaje sasa wakati si halali
 
Nachokataa hoja yako , ungeweka na muda. Kwamba haikai kwa muda gani?

Mbona madanga hela ya kuhongwa wanajengea mahekalu na kununulia magari, kisha mahekalu na magari hayo yanatakatisha maisha yao kawaida kabisa?

Tuambie hela yako hiyo ya wizi na unyang'anyi uliifanyia nini na kisha baadaye ikayeyuka?
 
preciousrabbit,
Mbona mabilionea wengi pesa zao zinanuka damu za watu wasio na hatia na bado wanaendelea kua mabilionea.
Makampuni makubwa yanafanya kuwapoteza watu ili yaendelee kusavaivu.
Wale sindo naskia wanapooza kwa makafara ?! Ndo maana hua zina mwisho kama sijakosea
 
Wale sindo naskia wanapooza kwa makafara ?! Ndo maana hua zina mwisho kama sijakosea
Wee unadhani nyuma ya utajili wa Mark,Billgert,Jeff,Warren,Jack ma.. kuna vifo vya watu wangapi wasio na hatia.? Hapo sasa sijataja zile familia tajiri zaidi duniani kama akina Jp morgan,Rothschild,Rockefeller (?).
Mind you sizungumzii makafara ya kishirikina wala freemason and the likes..
Bali watu wanapoteza maadui wa biashara ili zikue... yanatokea sana Imagine billionea anayemiliki kiwanda cha ARV
 
Mimi nilisha tapeli mtu mil.50

nikaenda nunua kiwanja pale pale

nikajenga pale pale ka rum kangu kakuzugia

ki hela kilichobaki nikatumbua Bata na mimi

Ninavyoandika hapa ile nyumba ipo,kile kiwanja kipo tena

watu wanataka niwauzie kwa bei za hatari hatari,nimechomoaaa

NATAKA KUSEMA NINI


Matapeli wengi akili zao zpo kama madalali wa nyumba yani lenyewe linaona hela hzi zipo kila siku

nimetapeli leo so kesho ntatapeli nyingine au ntaiba tena acha nileeee acha totoz watanueeee

Aseee tapeli mwenye akili akikutapeli aseee Hafilisiki ng'o tusidanganyane eti laaana,laaan my Foot

nije nkutapeli hapo sasa hivi tuone kama hiyo laaana itanipata (usiniloge tuuuu) mi nataka ulalamike na usononeke

uone kama yatanikuta,hayanipati NG'O shida matapeli/wezi/chuma ulete mi akili yao ni ZERO imelala.


NOTE: hiyo story ya kutapeli mil.50 sio mimi mwaya,nimejipachika tu hapo sema huo ndio ukweli.
 
dili za bila malengo ukijua kesho utapiga dili tena
 
Hahaha eti sio mm mwaya
 
Ingekuwa haifanyi maendeleo usingekuwa unawaona hawa tunawaita mabilionea ama manyumba ya kifahari huko mbweni na sala sala, its always abt the mindset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…