Kwanini hii nguvu ya kuhamasisha michezo ya bahati nasibu isihamie kwenye mambo ya msingi?

Kwanini hii nguvu ya kuhamasisha michezo ya bahati nasibu isihamie kwenye mambo ya msingi?

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Wakuu uwa najiuliza kwanini hii nguvu ya kutuamasisha tucheze biko tatu mzuka na mechezo mingine mingi ingeamishiwa kwenye mambo ya msingi kama kilimo biashara na mengine mengi na ukakika kwa 100% wananchi tungeamasishwa kilimo kinalipa kama tunavyoamsishwa kwenye hiyo michezo ungekuta kama taifa tumepiga atuwa kubwa sana kimaendeleo katika kilimo ila nashanga nguvu kubwa imeamishiwa kwenye mambo ambayo tuseme kama ni starehe tu za kawaida kwasababu ukifungua redio yeyote ni tatu mzuka biko mara sport pesa kwanzia asubuhi paka jioni.


Hadi najiuliza wamezamini vipindi vyote au kwenye simu kwa siku unapata ata sms 5 kuamasishwa ucheze hiyo michezo mm kama mtanzania napendelea kama huu uhamasishaji ungefanyika na kwenye mambo yenye tija kwa taifa tungekuwa wapi paka sasa hivi.

Kama taifa ombi langu naomba serikali kwenye masuala muhimu ya kitaifa umasishaji uwe juu hiv kama kwenye hii michezo na uhakika tungekuwa mbali sana muwe na siku njema wakuu
 
Ubunifu tu huo wa kuvutua wateja ili wawaibie
 
Unamanisha nn mkuu kusema hivyo
Hao wanao kuhamasisha kucheza biko, tatu mzuka n.k wanajua fika kuwa ww ndio Fursa pekee kwahiyo lazima wakuhamasishe kila siku na kila dakika.
 
Mkuu unaona aje huu ubunifu ukatumika kwenye mambo yenye tija kwa taifa mkuu
Shukuru kila siku kujaliwa akili hiyo usifikiri kila mtu yuko hivyo ata kama anapesa kibabo.
 
Hao wanao kuhamasisha kucheza biko, tatu mzuka n.k wanajua fika kuwa ww ndio Fursa pekee kwahiyo lazima wakuhamasishe kila siku na kila dakika.
Ili ni sawa kwa nchi kama yetu tuna hamasishwa mambo ya starehe kuliko mambo ya msingi
 
Kwani kwenye kilimo kwanza uhamasishaji ulikuwaje?

Au unataka ifanyike kwa mambo yapi iyo nguvu?
Mkuu mimi nataka hii nguvu iamishiwe kwenye mambo ya msingi kama viwanda na kazi siyo kuhamasisha watu wacheze biko na mambo ambayo siyo ya kuingiza pesa bali yakutupa umaskini
 
Back
Top Bottom