Kwanini hili jambo ni la kisirisiri!???


Mkuu hawa vijana ngoja wanashangaza sana lakn ukweli utajulikana pindi wakimaliza vyuo,twendeni tukapige kazi hii CWT sasa inabidi tuibadili as time being ili hawa viongozi waachane na mambo ya kuibeba serikali,kwa sasa nipo Dar ila najiandaa kwenda Kigoma mkuu,vp kuhusu waraka?
 
Waraka unaoelezea stahiki zako km mwajiriwa, hela za kujikimu, nauli na pesa za mizgo..lakn uktaka ujue kuwa kuna walakn, jaribu kwenda halmashauri na kuuomba huo waraka, HUPEWI, they say ts "confidetial"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…