Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mzee leo nahisi hajajipa utulivu. Mzee hebu weka tena bandiko hilo kwa kuhariri japo kidogo.Sasa ndo umeandika nini mkuu?
Aloycious,Mzee leo nahisi hajajipa utulivu. Mzee hebu weka tena bandiko hilo kwa kuhariri japo kidogo.
Wachafu hasafishiki, heri walichinjwa 1964!Loading
- KUTOKA FB: KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?
Bin Rawahy
April 15 at 3:56pm
Kwa nini history ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?
LikeShow more reactions
CommentShare
132132
29 shares
Comments
View 39 more comments
Abdul Haji Akili za kiufirauni au
Like · Reply · April 20 at 7:45am
Jay Square Unafichwa ukweli wa asili.
Like · Reply · April 22 at 1:16pm
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa. ingia hapa usome fikra za Prof. Noor: http://www.mohammedsaid.com/.../kutoka-jf-prof-ibrahim...
KUTOKA JF PROF. IBRAHIM NOOR NA TARIKH YA ZANZIBAR AKIREJEA…
MOHAMMEDSAID.COM
Posted 18 minutes ago by Mohamed Said
Labels: historia
Dynamic Views template. Powered by Blogger.
Masopakyindi,View attachment 342171 View attachment 342169 View attachment 342169View attachment 342170
Wachafu hasafishiki, heri walichinjwa 1964!
Waarabu walifanya kweli vitendo vya kutweza utu wa mwafrika wala si propaganda!Masopakyindi,
Prof. Ali Mazrui alipata kueleza propaganda za picha
za kuchora kueleza utumwa.
Unaweza kumsikia katika ''Triple Heritage.
Prof. Ibrahim Noor kaeleza vyema haya ya picha pia.
Chukua muda kusoma.
Lusungo,Waarabu walifanya kweli vitendo vya kutweza utu wa mwafrika wala si propaganda!
Denying historical facts!Masopakyindi,
Prof. Ali Mazrui alipata kueleza propaganda za picha
za kuchora kueleza utumwa.
Unaweza kumsikia katika ''Triple Heritage.
Prof. Ibrahim Noor kaeleza vyema haya ya picha pia.
Chukua muda kusoma.
Kitendo cha waarabu kuwachukua mababu zetu utumwani ni cha kishenzi tofauti na ustaarabu.Tatizo la mzee wetu mohamed said anataka kubadilisha nyeusi kuwa nyeupe....nakutakia asubuhi njema
Lusungo,
Umewashutumu Waarabu.
Vipi kuhusu Wazungu?
Unayo elimu ya Transatlantic Slave Trade?
Lusungo,Sasa ndo umeandika nini mkuu?
Masopyakindi,Kitendo cha waarabu kuwachukua mababu zetu utumwani ni cha kishenzi tofauti na ustaarabu.
Kutetea hali hiyo napata shida kumwitaje mtu kama Mohamed Said.
Masopakyindi,Unless you rank yourself so low, sioni moral justification ya kuutukuza utumwa wa waarabu au wa wazungu.