GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Na kwanini ukitoka humo ndani (kama uliingia na Mwanamke) Wahudumu wakiona Nylons ni Kavu si tu Wanakucheka bali Wanakudharau mno?
ONYO
Kama unajijua huna Utani wa Kijadi na Kiutamaduni na Wahaya au Watu wa Mkoa wa Kagera (Bukoba) kama Mimi GENTAMYCINE tafadhali kaa nao mbali, kwani nawajua hawa Watani zangu Washamba wakikasirika hasa wakigundua anayewatania siyo Mtani wao.