Binafsi nahitaji kujua ni kwa nini watu hawaandiki ili hizo sababu ndo tuzitafutie ufumbuzi.
Faida kubwa ni kueleza kwa nini wewe huandiki.Kama unaandika tueleze faida unazopata ili wavivu wa kuandika tubadilike.Tukitafuta makosa ya wengine haitatusaidia.Ni rahisi Zaidi kujirekebisha ukijua udhaifu wako na vigumu mno kurekebisha udhaifu wa wengine kwa udhaifu ulio nao.