Kwanini hujafanikiwa?

Kwanini hujafanikiwa?

MSDK pj

Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
10
Reaction score
29
KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️
💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa kibiashara lazima uwe na elimu ya kufanikiwa hapa ndo utakuta mtu anataka kuwa kama Fulani ktk biashara ila hafiki SIO kwama huwezi fika ILA huba uwezo wa kuwafikia kwa huja kuza uwezo wako ‼️
💧 Ili upate kumfikia lazima ukuze uwezo wako kwa maarifa ,usipo jilazimisha kukuza uwezo wako mungu atakulazimisha ukuze uwezo wako.
✍🏿 Mfano wewe unafanya Biashara ya mahindi kutoka Tanga mpka Moshi , kipindi wasafirisha mzigo njiani ukachanika na mahindi yakamwangia ( 😁😁 kwa akili ya kawaida utasema umepata hasara ) ila ukweli ni kwamba hiyo sio hasara ila ni mungu anataka akupe elimu( akukuze uwezo wako kwani ww umeshindwa kukuza uwezo wako) hapo mungu anataka akupe elimu yaani utambue kitu gani kimesababisha mahindi yako yachanike na kumwagika njiani ‼️🤷‍♂️ ili siku nyingne ukija kusafirisha mahindi mengi zaidi ya hayo usipate hasara kubwa zaidi.
🧏‍♂️ Usipo jifunza na hpo mungu atarudisha tena hali kama hii mpka pale utakapo jifunza hivyo basi jitahid kujifunza pale tu mambo yanapo kwenda kinyume na malengo yako.
💧 Ndo maana watu wengi walio fanikiwa ktk nyanja mbalimbali unayo itaka wew wamepitia magum sana ikiwa pamoja na kufeli ,hapa mungu alikuwa anakuza uwezo wao, nawe lazima ukuzwe uwezo wako. Ukikata tamaa una maanisha hutaki kukuzwa uwezo wako, daima utafanikiwa kihisia wala sio kiualisia.
💧 Ndo maana watu walio fanikiwa ni ngum kuanguka ila sisi wengine ndo tuna anguka mara 100 ,siri ni kwamba wao washa anguka mara kibao na kujifunza pale tu wanapo anguka na kufeli ( mafunzo hayo yaliwafanya KUWA na uwezo makubwa wa kudhibiti kufeli)
‼️unapo feli usilalamike, usikate tamaa, wala usilumu au kujilaumu Bali jifunze ili kuongeza uwezo wako.

👆🏽 Kwahiyo unapo taka KUWA kama mtu Fulani ktk nyanja yoyote ile lazima ukuze uwezo wako . ukishakuza uwezo wako mungu atakupa kila unacho kitaka.
Fatilia makala yangu inayo elezea njia za kukuza uwezo wako ktk nyanja mbalimbali.
 
Back
Top Bottom