Ila jamani, suala la kuficha mtoto kwa wanawake ni la kawaida kabisa. Shida yangu ni hapo pekundu yaani how long this has taken. Binti alifanya makosa kukaa muda wote huo bila kumwambia. Ila ni bora ameamua kumwambia sasa and ame-react hivyo. Kiukweli ni wanaume wengi tu wangeweza kufanya hivyo kama first reaction. Na shida kubwa si kwamba hakuwa na mapenzi ya kweli kama ambavyo baadhi wamesema eti ukipenda boga ....., tatizo ni kwamba mtoto ni another burden to your relationship that you need to think before accepting or declining. Kwahiyo si kitu cha kuchukulia rahisi rahisi tu on the sport, especially kama umekuwa na mchumba wako ukiamini kuwa hana mtoto, given that length of time. Mbaya zaidi ni je ndg, jamaa na marafiki zako watakuonaje?
Kama walivyosema wadau, binti kwanza akubali kama yeye ni chanzo kikubwa sana cha hiyo reaction, na ajue tu mwanaume ye yote angeweza ku-react hivyo. Pili. amuombe jamaa msamaha na amweleze wazi tu kwamba amekaa kimya muda wote huo kwa sababu alikuwa na hofu na jinsi atakavyo-react. She can even lie to him that she got the courage baada ya kushauriwa na ndug, jamaa na marafiki (it makes more sense, I think). Then atulie, amwache jamaa awaze na kuwazua, ila kama wadau walivyoshauri awe anamjulia hali (sms, email ila asimpigie) hata kama jamaa hajibu.