Bibie Kaunga hebu fafanua kidogo hapo........ Unamaanisha aliyetoka kunyonyesha au aliyeshawahi kunyonyesha? Ila iwavyo vyovyote vile kama ulivyosema ni wachache sana ambao watanishinda kuwajua.
Kweli kabisa
Kuna kitu kinaendelea kati ya jhuyu dada na mtoto wake ambacho may be alitaka kuficha sana kuwa ana mtoto sasa akaona ipo siku ataumbuka ndo maana kaamua kulisema
Haiingii akilini five years hujawahi kutaja jina la mtoto kwa mwanaume wako
haaingii akilini five years umekuwa nae may be outing hata marafiki zake na mwanamke hawajawahi kukutajia au kukuliiza habari za mtoto wako
Napingana na wewe kwa point b, kama alitaka kuwa fair angesema mwamnzo labda huyu N asingeingia wala kwenye mahusiano hayo.
Labda sababu ya kuingia kwenye mahusiano kwa N ilikuwa natafuta mtu wa kuoa na si kupitisha muda, na inavyoonekana N hayuko tayari kuishi na mwanamke mwenye mtoto.
So timing ya kumwambia haikuwa sawa kabisa
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.
Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla…
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..
Nawasilisha....!
Bibie Kaunga hebu fafanua kidogo hapo........ Unamaanisha aliyetoka kunyonyesha au aliyeshawahi kunyonyesha? Ila iwavyo vyovyote vile kama ulivyosema ni wachache sana ambao watanishinda kuwajua.
Labda yawezekana jamaa alikuwa mseminaristi na huyo ndo alikuwa mwanamke wake wa kwanza tangu azaliwe kuziona chuchu zake na kuzishika.....Aliye wahi nyonyesha; mdada mtoto wake ana miaka 9 and wamekuwa na uhusiano na mkaka for 5 yrs; asihisi tu?
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.
Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla…
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..
Nawasilisha....!
Au na umri pia, nina rafiki yangu tunafanya naye kazi ni mlokole (so the foleni is out of question) sometimes nawaza sijui kama anaDO, anyway ilibidi nimshike manyonyo yake, nilitegemea yawe na kaugumu fulani lakini hola. Sikuweza muomba anitolee nione without a bra yanakuwaje but ungeweza sema amenurse baby. Again angalia watawa wa kike wenye umri mkubwa. Hivyo nakubaliana na mtazamo wako lkn na umri pia unachangia.
We Yummy kwanza hujaniamkia. Kama nimemwelewa Kaunga hakumaanisha umwonapo kwa mara moja. Hapa amemnukuu mtoa mada kuwa huyu mseminaristi ameyakamata hayo maziwa for five good years!! Shika adabu yako Yummy.Kaunga sorry nimeingilia swali lakini kiukwelii si wote unaweza wagundua kuna wadada wengi tu hata wakikwambia wamenyonyesha watoto watatu huwezi kukubali kabisaaaa..........kwanza hata akisema ana mtoto mmoja tu unabisha sembuse kunyonyesha! Kuna watu wana maumbile mazuri sana,Mungu amewabariki. Asprin hata wewe hutaweza mgundua huyo kwa taarifa yako:A S tongue:......LOL
Ila jamani, suala la kuficha mtoto kwa wanawake ni la kawaida kabisa. Shida yangu ni hapo pekundu yaani how long this has taken. Binti alifanya makosa kukaa muda wote huo bila kumwambia. Ila ni bora ameamua kumwambia sasa and ame-react hivyo. Kiukweli ni wanaume wengi tu wangeweza kufanya hivyo kama first reaction. Na shida kubwa si kwamba hakuwa na mapenzi ya kweli kama ambavyo baadhi wamesema eti ukipenda boga ....., tatizo ni kwamba mtoto ni another burden to your relationship that you need to think before accepting or declining. Kwahiyo si kitu cha kuchukulia rahisi rahisi tu on the sport, especially kama umekuwa na mchumba wako ukiamini kuwa hana mtoto, given that length of time. Mbaya zaidi ni je ndg, jamaa na marafiki zako watakuonaje?
Kama walivyosema wadau, binti kwanza akubali kama yeye ni chanzo kikubwa sana cha hiyo reaction, na ajue tu mwanaume ye yote angeweza ku-react hivyo. Pili. amuombe jamaa msamaha na amweleze wazi tu kwamba amekaa kimya muda wote huo kwa sababu alikuwa na hofu na jinsi atakavyo-react. She can even lie to him that she got the courage baada ya kushauriwa na ndug, jamaa na marafiki (it makes more sense, I think). Then atulie, amwache jamaa awaze na kuwazua, ila kama wadau walivyoshauri awe anamjulia hali (sms, email ila asimpigie) hata kama jamaa hajibu.
True, umri unahusu pia
Baada ya miaka 5 nitakuwa nalitolea chini ya sketi huku chini.
Na kwa style ya unyonyeshaji wako , miaka mitano mingi aisee!
Mwambie hiviii:
Asihangaike kumpigia magoti. Kama jamaa linampenda litarudi lenyewe kumwambia "Usijali, kwani mtoto kitu gani bana"
Asilazimishe kwakuwa mapenzi hayalazimishwi na hata akilazimisha jamaa likakubali, hatoishi maisha ya raha manake atabatizwa jina jipa "Malaya wangu"
Hapo blue unamaanisha nini?
Kawaida unamaanisha nini?
Huwezi sema wanawake kuwa na kichaa ni kawaida ni ugonjwa
Na wanahitaji medical attention kama wagonjwa wengine 'low self esteem'