Kwanini hukunambia mapema M?


Unconditional kwenye uongo (au kukaa na fact muhimu siku zote)?
Kitu kama kuwa na ndoa kabla, watoto nk ni mambo ya msingi na yanahitaji kuwekwa sawa mwanzoni mwa uhusiano.....

hakuna mkamilifu, ni kweli amekosea! amekiri na amejaribu kumtafuta bila mafanikio. ina maana unaweza kumuacha mtu unayempenda kwasababu ya kitu ambacho KINAWEZA KUSIKILIZIKA NA KUREKEBISHIKA?
 
Kiukweli alitakiwa aseme mapema na awakutanishe na huyo Mtoto huenda jamaa angempenda na huyo mtoto baada ya kumuona ,na ingesaidia kuzoeana mapema kwani wangekuja kuishi nyumba moja mwisho wa siku kama Baba wa kambo japo ni ngumu.

Pia ni bora ukasema mapema ukamkosa mtu kabla hamjazoeana sana na kupendana sana kuliko kumficha ukaja ukaumia baadaye.
 
Hivi mambo kama hizi si huwa ni za kwanza kuelezana? Hasa katika ile stage ya kwanza kabisa wakati wa kufahamiana majina, kabila na hobbies zenu? Why amesubiri miaka yote hiyo??.......... nway better late than never na ni bora ameeleza kabla ya kuengajiwa
 
hakuna mkamilifu, ni kweli amekosea! amekiri na amejaribu kumtafuta bila mafanikio. ina maana unaweza kumuacha mtu unayempenda kwasababu ya kitu ambacho KINAWEZA KUSIKILIZIKA NA KUREKEBISHIKA?
cacico mie nimebakia nashangaa kauli yake ya it is over kuanzia leo unisahau jamani ..mmh
 
Last edited by a moderator:


@Mnana ushauri wa sasa unaompa baada ya tukio hili ni upi
Kwa mfano ni dada ,mdogo wako au rafiki yako?
 
natoka kidogo jamani please endeleeni kumshauri Meggy wangu majibu na maswali yote kutoka kwenu atayapata..
 
kweli dad hakufanya vizuri,maana miaka mitano ni mingi sana,na kama unampango wa kuishi na mtu lazima umwambie vitu ambavyo unaona vinawahusu maisha yenu yote.
 

Kijana hawezi kurudi kamwe, Unajua inauma sana kuja kukutana na mme mwenzako ambaye amekutangulia kufanya kile ambacho wewe unakilingia kukifanya hivi karibuni na huyo mpenzi wako, hapa ni karahaa tupu. Kama mwanaume ni mwenye umri kidogo kama miaka 39, 40 au 45 na kuendelea huyo atarudisha mawazo nyuma lakini kama ni kijana wa umri wa miaka kuanzia 25, 30 mpaka 35 atajiuliza kwa nini achukue 'overused?'
 
Last edited by a moderator:
Kutoka mwanzo mi naona mawazo yangu yapo tofauti na wachangiaji wengi hapa...
Mdada alifanya vizuri kutomweleza mapema. Angemueleza mapema kuna uwezekano jamaa angesepa mapema. But 'usiri' wake umemwezesha kuenjoy mapenzi kwa miaka 5. Something is better than nothing jamani, na tusijidanganye kwa miaka 5 walikuwa wanaandaa kuishi pamoja baadae, no walikuwa wanaenjoy life, kama wapenzi... Pia, kwa kumkawiza jamaa kusepa, amempa jamaa nafasi ya kumjua kiundani zaidi. Probably kama M ana positives nyingine, huyu jamaa frustrations zikiisha atakumbuka na chance ya kurudi ni kubwa. Angesepa mapema, asinge-learn kitu chochote positive kwa huyu M na probability ya kurudi ingekuwa zero.

Niseme tu kwamba, huyu dada kuona kama kuwa na mtoto ni anguko, inategemea na vision ya maisha yake. Kwa kweli kwa mdada ambaye anadream kuishi maisha ya ndoa, kupata mtoto na mtu ambaye hakumuoa, ni disaster kwa dream yake...
 

Nilishawahi kuandika hapa kwamba kama kuna chochote kile ambacho unajua kinaweza kumuudhi mwenzio katika mahusiano yenu ni bora ukiseme mapema (wala hakuna sababu ya kukificha) wakati penzi bado halijakolea vinginevyo ndio mambo kama haya yanatokea na wahusika kubaki wameumizwa nyoyo zao kupita kiasi.

 
Last edited by a moderator:
Huwa nalikaba kwapani, mtoto mgongoni
Yaani yashakuwa kwenye rapu rapu aisee, nikioga nakayamua kama kanga

Hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiii Kongosho naomba upigwe ban muda wote wa kazi wallaih utatufukuzisha kazi wengine nafwaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
cacico..unautesa moyo wangu wewe!!! that man u call 'husband' is truly blessed...
 
Last edited by a moderator:
@Mnana ushauri wa sasa unaompa baada ya tukio hili ni upi
Kwa mfano ni dada ,mdogo wako au rafiki yako?

Ajipange upya kimaisha bila huyo bwana maana ndio keshaota mabawa huyo harudi tena,ye atafute shule asome,awe busy na kuparty kidogo ili kujisahaulisha na sports kidogo na mengineyo yanaendana na hayo .

Pia atafute mwingine ila amuambie ukweli kuanzia mwanzo ili ajua mbivu na mbichi asije umia tena.
 

Mkuu hapa tatizo sio 'overused' asee...
Tatizo ni uongo kwenye jambo la msingi.....
 
hakuna mkamilifu, ni kweli amekosea! amekiri na amejaribu kumtafuta bila mafanikio. ina maana unaweza kumuacha mtu unayempenda kwasababu ya kitu ambacho KINAWEZA KUSIKILIZIKA NA KUREKEBISHIKA?

@cacico, sina tatizo kusamehe, hili ni jambo la hisia za mhusika. Huwezi kumpangia mtu msamaha!
 
Miaka mi5 ya mahusiano serious afu asimwambie ? Huyo kaka ana haki ya kumwacha asee! Vinginevyo huyo mdada hakuwa serious, pole yake!
 
Mapenzi ya siku hizi mbona ya kuunga unga na gundi?:A S confused:
Hapa mapenzi wala hayahusiki mpendwa manake kama ni kuunga mdada ndie ambae kayaunga vibaya, inawezekanaje akae na jambo zito kama hilo mda wote huo? Mkaka wa watu kaogopa labda huko aliko anajiulza atakuwa kafichwa siri ngapi?
 
We Yummy kwanza hujaniamkia. Kama nimemwelewa Kaunga hakumaanisha umwonapo kwa mara moja. Hapa amemnukuu mtoa mada kuwa huyu mseminaristi ameyakamata hayo maziwa for five good years!! Shika adabu yako Yummy.

Sh'kamooooooooo babuuuuu Asprin.......... yaani wewe hata ungeyaminyaminya kwa teni gudi yiarz wallaih usingejua acha kujitia mjuaji alaaaah
 
Huyu Dada hafai hata kwa kulimangila. Kama ameweza kuficha siri kwa miaka 5. Je siri ngapi alizobaki nazo moyoni ajamweleza. Even mimi, nampiga buti mbaya kiama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…