Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba
Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea
Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea
Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo huo, tunataka tuone maendeleo makubwa yakitokea na kwa mfano chumi za kama USA, China, Singapore na au Israel n.k
Tubapataje maendeleo aina hiyo iwapo kila leo hatuinenei mema nchi yetu na serikali inayoongoza?
Najaribu kuuliza ili pia kama kuna ukweli kati ya kujinenea mazuri na kutokujineneamazuri
Je, vitu hivi vikifanywa kwa uaminifu, huwa dhahiri?