Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Kwani jina ndilo linafight?makonda kawashinda mliyenae humu tz sembuse aliyeeshinda uk,mbuzi!!
 
hata hilo pambano lijalo akiingia na jina lingine sijui Mwasanguti au Macha ili mradi yeye awatwange tuu ni sawa hata umri akisema ni Serengeti boys sisi hiyo hatujali kabisa awatwange tuu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…