Kwani neno mafanikio unalichukuliaje maan naweza kuandika thread nzima kumbe mwenzangu hoya hoyaLabda mna maana tofauti ya mafanikio.
Kaze amewahi kufundisha Spain...Je kunamfanya yeye kuwa Kocha bora zaidi kuliko Ibenge...? ππ
πππMbona jambo lilikuw linakuzwa magazetini kwamba sisi tunamuhitaji ila ilikuw sio rahisi kuja simba nyie mkapata nafas ya kumchukua na hakutuacha mtaani sijui umenielewa wewe msukule
Aliwakusanya tu kwa vile nyie ni hoya hoyaπππ
Ushaanza kuvuta Unga wa Mmexico Pablo si ndio..?
Aucho mwenye alikiri kwa mdomo wake kuwa Simba walimuhitaji na wakawa wanafanya mazungumzo na wakala wake.
Ila yeye alipenda kuja Utopoloni FC zaidi kwa sababu ya mapenzi yake na Klabu.
Mafanikio ni kile unachotaka kukifikia kwa jitihada zilizopo.Kwani neno mafanikio unalichukuliaje maan naweza kuandika thread nzima kumbe mwenzangu hoya hoya
Umeanza vizuri ila hapo mwishoni ukamaliza na uharoMafanikio ni kile unachotaka kukifikia kwa jitihada zilizopo.
Sasa inategemea kila mtu ana kipimo chake cha Mafanikio.
Mwengine anaweza kusema kuwa mafanikio yangu ni kula kete 1 UNGA.
Ila mwingine akasema mafanikio yake ni kuuza kete 20 za UNGA.
Usiniambie kuwa Pablo Escobar mafanikio na ndoto zake katika maisha yake ni kufundisha Spain...?ππ
Niidhani kuwa utabisha kwamba hakuwahi kusema kuwa Makolokolo FC walimtaka....Aliwakusanya tu kwa vile nyie ni hoya hoya
Kweli ww oya oyaNiidhani kuwa utabisha kwamba hakuwahi kusema kuwa Makolokolo FC walimtaka....
Bingwa wa kihistoria mara 27. Nani akatae offer ya kuchezea Jangwani...?
Usikute hata huyo chama naye ni shabiki wa Yanga SC tangu angali kwa Zambia
Kaze alikuws mwalimu wa nini Spain mkuu, hebu tuwekane Sawa tusiojua tujue..Labda mna maana tofauti ya mafanikio.
Kaze amewahi kufundisha Spain...Je kunamfanya yeye kuwa Kocha bora zaidi kuliko Ibenge...? [emoji23][emoji23]
Unga wa Pablo Escobar umeshaanza kukusukuma kwenye tweets zako ka huko Twitter...Umeanza vizuri ila hapo mwishoni ukamaliza na uharo
Chukua Dozi yako ukalale ππππ
View attachment 2003658
Udaku tena πππ kauli za msukule zinawauma sana kwa vile mko naeUnga wa Pablo Escobar umeshaanza kukusukuma kwenye tweets zako ka huko Twitter...
Sasa ulichokiandika kwenye tweet kina maana gani iliyo na utofauti ya kile kinachoandikwa kwenye gazeti la Udaku..?
ππ
Fulaha kama hiyo inapatikana Avic Town tu.Kweli ww oya oya
Haya nenda avic town ukakumbatiwe maan unaandika uharo mtupu
View attachment 2003660
Furaha yenu ni kukumbatiana groupie kaam hivyo huku mmeshikana viuno jinsia moja?Fulaha kama hiyo inapatikana Avic Town tu.
Kule Bunju sasa hivi wanatafutana Pablo Kaingia na Unga mazoezini..
Wachezaji wanapataje furaha...ππ
Msukule gani tena huo unaoitwa JOSHUA MFUKO?Udaku tena πππ kauli za msukule zinawauma sana kwa vile mko nae
Sio kufundisha spain, taja club tuone kama inaweza kukaa mizani moja na madridLabda mna maana tofauti ya mafanikio.
Kaze amewahi kufundisha Spain...Je kunamfanya yeye kuwa Kocha bora zaidi kuliko Ibenge...? ππ
Furaha yenu ni kukumbatiana groupie kaam hivyo huku mmeshikana viuno jinsia moja?
Kijana mjitafakari huko utopoloni
Haihitaji kuniambia ili nijue kwamba yanga ina au haina shida ya pesa. Miundo mbinu ya klabu tu inaongea kila kitu kwamba hapa kuna njaa.Unadhani Yanga wanashida ya pesa hivi sasa...?
Unadhani wanaweza fanya dili la kuuza mchezaji kwa sababu ya kifedha...?
Unahitaji uende extra miles kumbeba mchezaji ambaye yuko kwenye mipango ya klabu pale Jangwanj.
Doli Doli ndio njia pekee!
Basi tufanye hivi..Sio kufundisha spain, taja club tuone kama inaweza kukaa mizani moja na madrid
Nabi tito kafundisha club gani za huko majuu?Basi tufanye hivi..
Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.
Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.
Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.
πππππ
Huhitaji kuniambia ili nijue kwamba yanga ina au haina shida ya pesa. Miundo mbinu ya klabu tu inaongea kila kitu kwamba hapa kuna njaa. Kwa Afrika Mashariki na kati hakuna klabu isiyo na shida na pesa na ushahidi ni miundombinu inayomilikiwa na klabu.
Mpira ni biashara kwa hiyo kusema mchezaji hawezi kuuzwa kwa sababu ya fedha unashangaza na kama wewe ni kiongozi wa mpira basi ndio maana soka letu liko hivi.
Una haki ya kuandika hivi ila sio uthibitisho kuwa shutuma sio za kweli. Kuuliza 'halafu' ,hata mtoto wa darasa la nne hawezi kuuliza hivi.Mashabiki wa Kibongo wengi wamechanganyikiwa kama wachambuzi wao wa mpira. πππ
Unaweza mkuta mti anasema kuwa Yanga SC inahonga motisha timu nyingine ili ziikamie simba.
Halafu