Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila ninachojua Mchezaji pekee ambaye ana Kipengele cha kutokuja kucheza Yanga SC ni Jose Luis Miquissone tu na siyo kwa Clatous Chota Chama.
Kwa Upumbavu ( Uzuzu ) wako ulionao wa Kurithishwa isingefahamika na wala usingenielewa pia.Unahisi usingeanza na "Mimi ni shabiki wa Simba SC" hii post yako isingefahamika?
Kwa Upumbavu ( Uzuzu ) wako ulionao wa Kurithishwa isingefahamika na wala usingenielewa pia.
Foolish.Watu wote wanaoanza post zao kwa kusema "mimi ni Simba damu" "Mimi ni Yanga Damu" "Mimi ni Mshabiki wa SC" n.k.
Basi hawa wanajulikana ni kina nani!! Hivyo Dada umeshajuilikana.
πππππGenta ni mdada kumbeWatu wote wanaoanza post zao kwa kusema "mimi ni Simba damu" "Mimi ni Yanga Damu" "Mimi ni Mshabiki wa SC" n.k.
Basi hawa wanajulikana ni kina nani!! Hivyo Dada umeshajuilikana.
We jamaa ni mchonganishi[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Genta ni mdada kumbe
Kwanini mkuu?We jamaa ni mchonganishi[emoji16]
Genta ma ID buku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Genta ni mdada kumbe