Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
not sureSure?
weka hapa tuone hiyo miziki yako mizik yako
Leo kijana umeongea point ibranation ni msanii mzuri Sana na ana kipaji kikubwa kuliko wasanii wengi wa bongo kwa wale wanafuatilia series ya kapuni ya maisha bongo ndani ya zikizDStv yeye ndo amefanya ile soundtrack ya hiyo series na ni bonge moja ya soundtrack ila soko la bongo linataka msanii awe very active kwenye kutoa kazi almost si chini ya ngoma 5 kwa mwaka mmoja.Tatizo kijana anatoa ngoma moja sometime 2 kwa mwaka mmoja kwa style hii lazima wabongo wakupotezee.Tatizo lingine ana jificha Sana ni adimu Sana kumuona kwenye media na niliwahi kumshauri kwenye Instagram yake mshauri wangu mpaka leo hajaufanyia kazi.
Jambo lingine Hana management active, management itakayo push mziki wake uende.jambo la mwisho kabisa jamaa sio hard worker kabisa ili nalo linachangia asifike mbali kimziki.Mziki wa bongo utakiwi kujua kuimba pekee unatakiwa ujiongeze zaidi.
Wazazi wake ni walokole duh lakini jamaa sauti yake ipo kipekee sanaHuy jamaa angeshakuwa ametoka mda sana walianza kipind cha kina malow Kwanza tatzo linaanzia kwa wazazi wake huku iringa ni kama walokole hivi waliamini zaidi katika elimu kwahiyo ni kama huwa hawapendi anachokifanya pengine hata yeye hilo limemuathiri ndo mana anakuwa yupo yupo tu asogei
Clouds nao wamejitahidi kumsogezaKuna huyo na Jolie pamoja na Beka ibrozama, kama Kupigwa wimbo wako clouds unakua superstar basi hao wangekua mabilioneà star maana eer day wanachezwa ngoma zao ila ajabu wako pale pale dah!
Una maana gani kusema nje ya mziki wake?😆😆😆
Una maana gani kusema nje ya mziki wake?😆😆😆
Km wee ulivoelewa maana yake ndio hivyooohUna maana gani kusema nje ya mziki wake?[emoji38][emoji38][emoji38]
Nyinyi wadada mna shida sana
Una boyfriend?
Naona unakwepa swali kiaina