Kwanini Ibrahnation anakuwa underrated?

Kwanini Ibrahnation anakuwa underrated?

Umeshaandika yote, naomba nipigie tu mstari
Leo kijana umeongea point ibranation ni msanii mzuri Sana na ana kipaji kikubwa kuliko wasanii wengi wa bongo kwa wale wanafuatilia series ya kapuni ya maisha bongo ndani ya zikizDStv yeye ndo amefanya ile soundtrack ya hiyo series na ni bonge moja ya soundtrack ila soko la bongo linataka msanii awe very active kwenye kutoa kazi almost si chini ya ngoma 5 kwa mwaka mmoja.Tatizo kijana anatoa ngoma moja sometime 2 kwa mwaka mmoja kwa style hii lazima wabongo wakupotezee.Tatizo lingine ana jificha Sana ni adimu Sana kumuona kwenye media na niliwahi kumshauri kwenye Instagram yake mshauri wangu mpaka leo hajaufanyia kazi.

Jambo lingine Hana management active, management itakayo push mziki wake uende.jambo la mwisho kabisa jamaa sio hard worker kabisa ili nalo linachangia asifike mbali kimziki.Mziki wa bongo utakiwi kujua kuimba pekee unatakiwa ujiongeze zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huy jamaa angeshakuwa ametoka mda sana walianza kipind cha kina malow Kwanza tatzo linaanzia kwa wazazi wake huku iringa ni kama walokole hivi waliamini zaidi katika elimu kwahiyo ni kama huwa hawapendi anachokifanya pengine hata yeye hilo limemuathiri ndo mana anakuwa yupo yupo tu asogei
 
Kuna huyo na Jolie pamoja na Beka ibrozama, kama Kupigwa wimbo wako clouds unakua superstar basi hao wangekua mabilioneà star maana eer day wanachezwa ngoma zao ila ajabu wako pale pale dah!
 
Wazazi wake ni walokole duh lakini jamaa sauti yake ipo kipekee sana
 
Kuna huyo na Jolie pamoja na Beka ibrozama, kama Kupigwa wimbo wako clouds unakua superstar basi hao wangekua mabilioneà star maana eer day wanachezwa ngoma zao ila ajabu wako pale pale dah!
Clouds nao wamejitahidi kumsogeza
 
Back
Top Bottom