usifananishe ibra na ujingaSijawahi kumuelewa kiukweli na nikikuta watu wanamuongelea kuwa ana uwezo mkubwa ndo huwa sielewi kabsaa..
je, yupo vizuri vocally kuliko beka ibrozama au ana uandishi mkali kuliko marioo au hata ana aura ya kuuzika kuliko wasanii waliopo
Labda unisaidie kuuona huo uspesho wake mkuu
Sijakwepa swali nimejibu kadri ya uelewa wangu kulingana na swali lako, labda km ulikuwa na maana nyingineNaona unakwepa swali kiaina
Me namaanisha mchumba.Sijakwepa swali nimejibu kadri ya uelewa wangu kulingana na swali lako, labda km ulikuwa na maana nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndagu.domo anasemaje sasa mziki ni zaidi ya nn
Na asisahau kua active daily kwny mambo ya ngono na mastaa wenzake then hapo Nyota itang'aa kama ya wenzake.Leo kijana umeongea point ibranation ni msanii mzuri Sana na ana kipaji kikubwa kuliko wasanii wengi wa bongo kwa wale wanafuatilia series ya kapuni ya maisha bongo ndani ya zikizDStv yeye ndo amefanya ile soundtrack ya hiyo series na ni bonge moja ya soundtrack ila soko la bongo linataka msanii awe very active kwenye kutoa kazi almost si chini ya ngoma 5 kwa mwaka mmoja.Tatizo kijana anatoa ngoma moja sometime 2 kwa mwaka mmoja kwa style hii lazima wabongo wakupotezee.Tatizo lingine ana jificha Sana ni adimu Sana kumuona kwenye media na niliwahi kumshauri kwenye Instagram yake mshauri wangu mpaka leo hajaufanyia kazi.
Jambo lingine Hana management active, management itakayo push mziki wake uende.jambo la mwisho kabisa jamaa sio hard worker kabisa ili nalo linachangia asifike mbali kimziki.Mziki wa bongo utakiwi kujua kuimba pekee unatakiwa ujiongeze zaidi.
Muulize Polepole anaujua umuhimu wa hao madogo wanapoenda kupanda majukwaani kuwaimbia uchwara wenzao wanaopigwa jua kali la saa 8 mchana kwny kampeni.
Ni kaka yake mh.Pinda
Unatakiwa umuheshimu na mpende yeye pekee sio kutamani wanaume wengine hiv kwa mfano angeona comment yako kwa ibranation angejisikiaje?
Hiyo hapana.Na asisahau kua active daily kwny mambo ya ngono na mastaa wenzake then hapo Nyota itang'aa kama ya wenzake.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Bila hio ajiandae kusota sana.Hiyo hapana.
Kwan me nmemtaman ibrah wapiii? Mmmmmh sikumaanisha jinsi ulivoelewa. Sorry kwa hiloUnatakiwa umuheshimu na mpende yeye pekee sio kutamani wanaume wengine hiv kwa mfano angeona comment yako kwa ibranation angejisikiaje?