Kwanini ikifika saa6 usiku network inakata Vodacom?

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa!

Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7!

Kwanini inakuwa hivi?
 
Reboot sequence waliyo set kwa core networks zao. But it weird sababu hiyo sio normal kwa ISP
 
Halotel walikuwa nayo hiyo style mwaka juzi kurudi nyuma nakumbuka sita kamili mpaka saa sita na dakika tatu tulikuwa tunaita dakika za kupooza simu
 
Dah! inaleta usumbufu unakuta mtu upo bize hata unaangalia UEFA mara shwaah!
 
Back
Top Bottom