Reboot sequence waliyo set kwa core networks zao. But it weird sababu hiyo sio normal kwa ISPNimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa!
Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7!
Kwanini inakuwa hivi?