Kwanini iliitwa TGo ?

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,371
Kila nikisikia hii habari huwa natafakari ni kwanini iliitwa hivo na sipati jibu. Sio uhusiano wowote na wala hata ukizingatia jina la kweli la mahala ambapo panafanyiwa uchafu huo haufananii na neno Tigo. Hivi huu mchezo mchavu wa kutumia emergency exit ni kwa nini ilipewa jina la Tigo (0713)?

Kwa nini wasiseme TTCL au Airtel ama Voda? Jina lilitokana na nini na limetokea wapi?
 
kwa kisambaa ntii ni mat..ko pengine wameiga toka usambaani, lakini vilevile kwenye kisambaa kuna neno ntigo lakini likiwa na maana nyingine
 
ni upuuzi tuu wa wabongo kwani kila lilokuwa baya basi kwetu twaliona zuri, sasa kula tigo nako ni kitu cha kujadiliwa kwenye jamii forum?
uchafu mkubwa ule ulokatazwa karibu na vitabu vyote vitakatifu haufai kabisa,,ole wao wala 0713...
 
usikurupuke, hujaelewa kitu!

ni upuuzi tuu wa wabongo kwani kila lilokuwa baya basi kwetu twaliona zuri, sasa kula tigo nako ni kitu cha kujadiliwa kwenye jamii forum?
uchafu mkubwa ule ulokatazwa karibu na vitabu vyote vitakatifu haufai kabisa,,ole wao wala 0713...
 
Kuna mtu nilimsikia anamwambia mwenzake "baadae nitaku beep kwenye tigo"! Nikaona anayeambiwa ameshikwa na butwaa hivi na baadae akatabasamu! Kiswahili hiki!
 
Nembo ya Tigo ilikuwa ikiandikwa tiGO sasa ile herufu ya mwisho nadhani ndiyo iliyopelekea mpaka kupewa jina hilo.

Pia ni mtandao ambao ulikuwa unajitanuka sana, hali kadhalika tendo hilo la usodoma kipindi hicho lilikuwa ndiyo kama limetamalaki ni hivyo kuhususisha jina hilo na tendo hilo.

Hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu juu ya tigo.
 
Utamu wa mtandao ndo unafanana na utamu wa tigo asilia
 
Heading nimeona TGO na kufungua nakuta ni TIGO Vipi Tena? charger
Na wale Askali Polisi FFU waendeshao Pikipiki kila uchochoro hupita kutafuta rushwa nao walipewa hilo jina badala ya lile walilopewa Jeshini la ''Nyigu'' Majuzi hadi Mkuu wa Polisi nimemsikia akiwaita Askali Polisi maarufu kama tiGO
 
TIGO WALIKUWA NA USEMI WAO KUWA NI MTANDANDAO UNAOKUPA ZAIDI..................................Sasa ukipewa zaidi ya kawaida(K)basi neno lilianzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…