Nakubaliana na wewe, kwani bila kututishia hakuna hoja za zingine za kuwaaminisha watu bila kuwalaghai kwa vitisho na ahad?C km n wajanja wachache waliandika hvyo vitabu na kuanzisha hzo dini Ili waweze kutawala Dunia bila tabu ..
Hakuna willing Hata kidogo,Kwahiyo hakuna Willing katika iman?
Salaam, zingatia swali hapo juu.
Ati jamani yani kwanini?
Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa?
Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa moto, kuna raha na starehe.
Ebu naombeni ufafanuzi kwa vyovyote unavyoelewa wewe au hata usivyoelewa na wewe tuchanganyikiwe wote.
Kuna ujinga mwingi sana.Ukisoma biblia na quran kwa kutumia akili ya kuzaliwa utagundua dini hizi magumashi tupu. Kuna ujinga na uongo wa wazi wazi mwingi sana.
Mfano Biblia inakuambia eva aliongea na nyoka kuhusu tunda la bustan ya edeni
Huku Quran inakuambia mtume muhammad alipaa na punda mwenye mabawa kwenda mbinguni kwa ajili ya ku negotiate na mungu idadi ya swala ziwe 5 tu kwa siku.
Imagine nyoka anaongea na huku punda anapaaa zaidi ya njiwa na mungu una negotiate nae idadi ya swala kutoka 50 mpaka zinakuwa 5 kwa siku
Basi waliotunga dini wana akili sanaDini ni mradi wa watu kama miradi mingine tu, wajinga ndio waliwao. Lengo kuu la dini ni kuwa na wafuasi ili iweze kuwatawala nafsi zao. Kumbuka dini na serikali ni maswahiba walioshibana wenye malengo yanayo shabihiana.
Watunga dini ni Extra ordinary kwenye viwango vya akili, binafs huwa nawakubali sana watu wanaopiga pesa za wajinga kwa mlango wa dini mfano Mwamposa.Hakuna logic kwa kweli,eti mtu mmoja mqurayshi kaenda zake kujificha mapangoni ale msuba,kala msuba weee umemkolea anaanza kudai sijui katokewa na nani eti
Lazima atoe hoja yakinifu kwanini tusafiri ikiwa kuna vikwazo vingi namna hiyo. Tusiposafiri kuna madhara gani?Hivi mtu akikuambia tunaenda safari ya kutembea kutwa nzima hivyo uhakikishe umebeba chakula, maji na uwe na vifaa vya kujikinga na mvua la sivyo uwe tayari kushinda njaa na pengine kunyeshewa na Mvua.
Hapo amekutishia au amekueleza utakayokutana nayo huko kwenye safari yako kama utampuuza?