Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

Ni mbinu za kutawala na kuendelea kushika akili za watu tu
 
Mi hua nawaza hivi sheria inasemaje kuhusu huku kutishiana maisha. Yaani kama naweza kumsĥitaki mtu alienitishia maisha mtaani na akafungwa au kupigwa faini, kwanini hawa wanaotutishia moto na mateso siku ya hukumu tusiwe na uwezo wa kuwashtaki polisi na mahakamani wakapigwa nyundo sero?
 
Philosophy iko deep sana kuliko theology ingawa na yenyewe ilikuja kuingiliwa ikawa intermingled mchanganyiko huo ukapoteza ladha tamu ya phylosophy
 
Mi hua nawaza hivi sheria inasemaje kuhusu huku kutishiana maisha. Yaani kama naweza kumsĥitaki mtu alienitishia maisha mtaani na akafungwa au kupigwa faini, kwanini hawa wanaotutishia moto na mateso siku ya hukumu tusiwe na uwezo wa kuwashtaki polisi na mahakamani wakapigwa nyundo sero?
Mkuu Bush,
Unamshitaki mtu amekutishia maisha yako akafungwa au akapigwa faini. Ni sahihi kabisa.

Lakini linapokuja suala la watu kwa upande wa dini, vitisho huwa ni baada ya maisha yako haya ya duniani( according to religion context)

sasa Ni mahakama gani inayohusika kutoa hukumu baada ya kifo cha mtu?

Nafikiri Misingi ya Imani iheshimiwe. Na serikali haiwezi kuingilia mambo ya IMANI.
 
So mfano mtu akinifata akaniambia kesho naenda kwenye kaburi la babu yako namfukua maiti naitwanga viboko. Kisheria hii imekaaje?
 
Hakuna logic kwa kweli,eti mtu mmoja mqurayshi kaenda zake kujificha mapangoni ale msuba,kala msuba weee umemkolea anaanza kudai sijui katokewa na nani eti
Acha kashfa na kejeli, hajalazimishwa kuamini we tulia subir ufe ndo utajua ukweli wa mambo Wala usipate tabu na mtu na Imani yake. Nakupa challenge wew na wenzio wa Aina yako ,nafkiri Tena we Ni mtu wa Zama hizi unajiona una maarifa meng na umejuua vtu vingi em na wew jaribu kutunga kitu ambacho unaweza kuwashawishi watu wote duniani waKukubali wao na vizazi vyao vyote vijavyo Kama mtume Muhammad swallahhah alayhi wassalaam.
Kama hamuwezi mumuheshimu huyu mtume Mana ana wafuasi kuliko hata hao ma genius wenu mnaowasifu au watu wenye vipaji na matajiri.
 
Ok
 
Nitaanza kufungua mashitaka kwa mtumishi yeyote wa imani atakaenitishia maisha hapa duniani, Mahakama ziko wazi na hazina dini tusitishane.
 
Acha kashfa na kejeli, hajalazimishwa kuamini we tulia subir ufe ndo utajua ukweli wa mambo Wala usipate tabu na mtu na Imani yake. Nakupa challenge wew na wenzio wa Aina yako ,nafkiri Tena we Ni mtu wa Zama hizi unajiona una maarifa meng na umejuua vtu vingi em na wew jaribu kutunga kitu ambacho unaweza kuwashawishi watu wote duniani waKukubali wao na vizazi vyao vyote vijavyo Kama mtume Muhammad swallahhah alayhi wassalaam.
Kama hamuwezi mumuheshimu huyu mtume Mana ana wafuasi kuliko hata hao ma genius wenu mnaowasifu au watu wenye vipaji na matajiri.
"Subiri ufe ndio utajua ukweli wa mambo" Ukweli upi shehe? Wewe umewahi kufa mpaka ujue Kuna ukweli.?
 
Kwenye biblia angalau utaona akili,ila kwenye kurwani huko ni ukichaa na ujinga uliopitiliza.
Kinachofanya uone kama biblia ina akili ni kwasababu biblia imekuwa edited mara nyingi sana. Kila baada ya muda fulani kuna vifungu vinachomolewa mle hasa vikionekana vina mkanganyiko au haviendani na kinachoelezwa, au kwa matakwa mengine ya kidini na kisiasa.
 
"Subiri ufe ndio utajua ukweli wa mambo" Ukweli upi shehe? Wewe umewahi kufa mpaka ujue Kuna ukweli
Kwani mi nimesema ukweli Ni upi Ila Imani yangu ndio naamini kile nachokijua Mimi ndo ukweli lakni we swez kukufosi uamini kwahyo ili ujue mimi nimepotea au nimeongoka subir ufe tu ndo utayakinisha Nani mkweli.
Mana sisi tunaamini ukifa tuu ndo mwanzo wa akhera utajionea yote n,kwahyo usipoyakuta wew itakuwa mwerevu.
Na sina Shaka utayakuta .
 
Siku hizi humu JF kumekuwa na ongezeko kubwa la watu (hasa vijana) kutuhumu Dini kuwa hazina umuhimu wowote katika maisha, na nimekuwa nikipitia michango mingi ikishajiisha watu wengine wakubali pia kuwa kufuata Dini ni upunguani na kuwa nyuma ya wakati.

Lakini pia Kwa tathmini niliyoifanya wengi wa wanaoanzisha mada hizi eidha ni Wakristo au walikuwa kwenye Dini hiyo hapo zamani, Mimi nafahamu Wakristo wana hamu kubwa ya kupata majibu ya msingi kuhusu ni namna gani Dini (Ukristo) inavyoweza kumtatulia Muamini shida mbalimbali anazokumbana nazo katika maisha haya ya kudunia, kana kwamba Ukristo umepwaya sana katika eneo hili, matokeo yake Waamini wamekuwa katika mtaziko mkubwa kiasi baadhi yao wameona Dini haina (hazina) maana yoyote.

Lakini wameenda mbele zaidi pia kutuhumu Dini ya Uislam kuwa ndiyo mbaya zaidi, wakitoa mifano ya mafundisho yaliyopo ktk Uislam.

Hapa nitaeleza kiasi kuhusu Uislam ni namna gani unavyojieleza wenyewe ni vipi watu wanatakiwa kuishi ktk maisha haya, ni kwamba Maisha yao yote ni lazima wafuate muongozo wa kitabu Chao (Kuran) na mafundisho Sahihi ya Mtume wao ( Swala na salamu zimfikie) tena Kwa UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA, nimekazia hapo kwasababu hilo limeleta mushkeli mkubwa hata ktk Dini ya Uislam, pengine nitaeleza baadae kuhusiana na jambo hilo.

Katika kufanyiwa kazi mafundisho ya Uislam ni lazima kwanza kusoma, ni marufuku kufanya ibada yoyote kabla ya kusoma, na SoMo la kwanza ni kumjua Mungu, hapa pia baadhi ya Waislam wameanguka, ndiyo utaona Kwa kutomjua Mungu itakiwavyo watu humshirikisha Mungu na viumbe wengine. Ndugu zangu msingi huo ukiporomoka basi tujue kuwa kwengine kote mambo yataharibika...... Nitaendelea na maelezo nikijaliwa kesho.

Kama kuna nilipokosea natanguliza samahani.
 
Kwani mi nimesema ukweli Ni upi Ila Imani yangu ndio naamini kile nachokijua Mimi ndo ukweli lakni we swez kukufosi uamini kwahyo ili ujue mimi nimepotea au nimeongoka subir ufe tu ndo utayakinisha Nani mkweli.
Mana sisi tunaamini ukifa tuu ndo mwanzo wa akhera utajionea yote n,kwahyo usipoyakuta wew itakuwa mwerevu.
Na sina Shaka utayakuta .
Huna shaka ntayakuta Kwa facts zipi ulizonazo, unasema unaamini kwani kuamini ni kujua? Hata kesho Yako tu hulijui unajifanya kujua ya ahera.👎👎
 
Back
Top Bottom