Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

Hakuna willing Hata kidogo,
Muslim ukiikacha Dini unaitwa kafiri.
RC , etl usipo hudhuria church hawakuziki
Swala la kuzikwa mimi halijawah nitisha kabisa maana si jukum langu, ni jukum la serkali na wanaobaki.
 
subiri waje wakuletee vifungu na vitisho mkuu, Tulia hivo hivo usitisike.
Mimi natulia na sitishiki nshazoea, nataka wanipe hoja za kuniingia kichwani bila kunitishia maisha maana imani ni amani.
 
Hakuna kitu kama hicho, wenzetu kule ndio kabisa maana ukitoka tuu unaweza kuhukumiwa kifo, sasa sijui mungu gani alisema uuliwe ukitoka ile dini, ni usanii mtupu
Hata uku kwa wagharatia yapo hayo usipoudhuria ibada unaandamwa kama vile hujaenda kazini. Dini ingekua kitu kizuri cha maana kabisa nafikiri kila mwenye akili angewiwa bila kutishwa wala kushawishiwa
 
Wote sawa tuu tofauti zao ni majina tuu na viwango vya adhabu wanazotoa
 
Dini ni uongo wa kuungaunga.
 
Dini ni uongo wa kuungaunga.
Hakika mkuu, mimi nafikia kusema tu yamenishinda maana licha ya maandiko mengi lakini humo ndani ndo mahala pa wanafiki, wezi na wazinzi.
 
Kwenye biblia angalau utaona akili,ila kwenye kurwani huko ni ukichaa na ujinga uliopitiliza.
Hivi inakuwaje wale mabwana na ndevu zote zile wanasadiki ujinga kama ule?
Maana umekaa kama uongo wa mwalimu kwa watoto wa Nursery ukikua tu unagundua ulidanganywa.
 
Nisiseme mengi ila nawaambia tu

Amin Amin nawaambia, hakuna kitu inaitwa kwenda Mbinguni kama tulivyoaminishwa kabla hatujajitambua mpaka sasa, hakuna Mungu, Shetani, Malaika wala siku ya kuchomwa moto. Ukiwa na akili timamu utanielewa.
 
Binadamu tumeumbwiwa hivyo,Mf😛olisi,Magereza,Wajeda ni sehemu ya vitisho zidi ya binadamu,
hivyo vitisho visingekuaepo binadamu asinge tawalika (tii).
Ahadi pia binadamu ukitaka akutii mpe ahadi mf: Angalia wanasiasa wote duniani ahadi ndio mtaji wao,hatawewe ukitaka mambo yako yaende kunanyakati inakulazimu kutumia ahadi.
Hizo ndio asili ya mwanadamu kaumbiwa hivyo huwezi ikuta kwa mnyama
 
“A judging God who has plans and acts purposively is a God to be obeyed and placated. Opportunistic preachers are then able to play on our hopes and fears in the face of such a God. They prescribe ways of acting that are calculated to avoid being punished by that God and earn his rewards. But, Spinoza insists, to see God or Nature as acting for the sake of ends—to find purpose in Nature—is to misconstrue Nature and “turn it upside down” by putting the effect (the end result) before the true cause.

Nor does God perform miracles, since there are no, and cannot be, departures whatsoever from the necessary course of nature. This would be for God or Nature to act against itself, which is absurd. The belief in miracles is due only to ignorance of the true causes of phenomena.”

Baruch Spinoza (Stanford Encyclopedia of Philosophy)
 
Kwenye biblia angalau utaona akili,ila kwenye kurwani huko ni ukichaa na ujinga uliopitiliza.

kote hakuna akili. quran ina content nyingi zilizopo kwenye bibilia pia, biblia ina maujinga mengi sana, na quran pia ina maujinga mengi sana
 
Hivi inakuwaje wale mabwana na ndevu zote zile wanasadiki ujinga kama ule?
Maana umekaa kama uongo wa mwalimu kwa watoto wa Nursery ukikua tu unagundua ulidanganywa.
Wako brainwashed na mapepo,maya zaidi hawajitambui na dini haiwapi room ya kuhoji,ukihoji tu unnambiwa unakufuru wanakulima kichwa😀,yani kama mazombi
 
Wako brainwashed na mapepo,maya zaidi hawajitambui na dini haiwapi room ya kuhoji,ukihoji tu unnambiwa unakufuru wanakulima kichwa😀,yani kama mazombi
Ahahah kweli wale mazombi asee, utasikia ibrahim alikua muislam mara msikiti wa Suleman ulijengwa na majini wasafi😄
 
Watunga dini ni Extra ordinary kwenye viwango vya akili, binafs huwa nawakubali sana watu wanaopiga pesa za wajinga kwa mlango wa dini mfano Mwamposa.
Mkuu unapoona Prof mzima kavaa milozari kwenye moja ya dominica yupo kwenye lile Grotto la Bikira Maria anasujudu pale,in tha situation what comes in your mind?
 
Mkuu unapoona Prof mzima kavaa milozari kwenye moja ya dominica yupo kwenye lile Grotto la Bikira Maria anasujudu pale,in tha situation what comes in your mind?
Mimi naona tabia za kurithi ndani yake alizoshindwa kuzipoteza licha ya kusoma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…