Kwanini IMF haishinikizi Tanzania kupunguza gharama za kuendesha Serikali kama inavyofanya nchi nyingine?

Kwanini IMF haishinikizi Tanzania kupunguza gharama za kuendesha Serikali kama inavyofanya nchi nyingine?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Afrika zinazokopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.

Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya, ila cha ajabu Tanzania sijawai liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza inajiendesha kwa anasa kubwa sana.
 
Tukipata hela sisi watu wa serikali tunakula inashuka chini hutaki zishuke chini?
 
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao...
Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha?

Kenya wangekuwa wamepunguza matumizi kwa kupunguza matumizi ya kifahari ya serikali wala wananchi wasingeandamana. Badala yake waliongeza malipa ya wanasiasa na kuongoza kodi nyingi. Nasikia Ruto ameondoa tena malipo waliyokuwa wameweka kwa ajili ya mke wake. Hapa kwetu sisi tunacheka tu.
 
Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha? Kenya wangekuwa wamepunguza matumizi kwa kupunguza matumizi ya kifahari ya serikali wala wananchi wasingeandamana. Badala yake waliongeza malipa ya wanasiasa na kuongoza kodi nyingi.
SHida ni kwamba wao Serikali badala ya kubana matumizi wanapambana na Tozo na hilo ndio lime wa cost Kenya.

Tanzania Serikali haitaki kusikia kitu kinaitwa kubana matumizi wao wanacho taka kusikia ni kuongeza tozo tu.
 
Waseme m'bane matumizi ili msiende kukopa tena wakose rasilimali?

Kukopa kwetu kwao ni faida kubwa sanaa huwa wanatucheka huku wanasema 'Tuwaache tusiwashtue'
 
Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha? Kenya wangekuwa wamepunguza matumizi kwa kupunguza matumizi ya kifahari ya serikali wala wananchi wasingeandamana. Badala yake waliongeza malipa ya wanasiasa na kuongoza kodi nyingi. Nasikia Ruto ameondoa tena malipo waliyokuwa wameweka kwa ajili ya mke wake. Hapa kwetu sisi tunacheka tu.
IMG_20240704_080134_939.jpg

👇👇👇

downloadfile-351.jpg
 
SHida ni kwamba wao Serikali badala ya kubana matumizi wanapambana na Tozo na hilo ndio lime wa cost Kenya.

Tanzania Serikali haitaki kusikia kitu kinaitwa kubana matumizi wao wanacho taka kusikia ni kuongeza tozo tu.
Serikali nyingi zinakujaga kushtuka mambo yameshakua magumu,,, na hao wanaotoa mikopo sio maboya hasa kwa nchi za dunia ya 3, wanakutengenezea mazingira ya wewe kujifunga kwao, pale utakaposhindwa kulipa ndo wanapata nguvu ya kuingiza maamuzi ya ajabu kwenye serikali yako kama ilivyotokea Kenya na ule muswada , ni lazima mwishoni ufanye maamuzi magumu tu kulipa mkopo,,,,kuna wengine utafidia kwa rasilimali kuna wengine ndo hivyo wataingilia sera na mifumo ya serikali yako, kiufupi unarudi tena kutawaliwa
 
Kama Kenya walipewa hayo masharti how did they get to this point?
 
Serikali nyingi zinakujaga kushtuka mambo yameshakua magumu,,, na hao wanaotoa mikopo sio maboya hasa kwa nchi za dunia ya 3, wanakutengenezea mazingira ya wewe kujifunga kwao, pale utakaposhindwa kulipa ndo wanapata nguvu ya kuingiza maamuzi ya ajabu kwenye serikali yako kama ilivyotokea Kenya na ule muswada , ni lazima mwishoni ufanye maamuzi magumu tu kulipa mkopo,,,,kuna wengine utafidia kwa rasilimali kuna wengine ndo hivyo wataingilia sera na mifumo ya serikali yako, kiufupi unarudi tena kutawaliwa
Wewe huoni tunajitakia wenyewe? Kwa nini mnapeleka lawama kwa watu ambao wanatengeza maisha yao na ya watoto wao? Nyie si mna mama yenu anayeupiga mwingi? Kilio cha mtu mzima ni cha nini tena sasa?
 
Wewe huoni tunajitakia wenyewe? Kwa nini mnapeleka lawama kwa watu ambao wanatengeza maisha yao na ya watoto wao? Nyie si mna mama yenu anayeupiga mwingi? Kilio cha mtu mzima ni cha nini tena sasa?
Povu la nini blaza kwahio na mm nikijkunga kua keyboard warrior ndo nitabadili mambo?
 
IMF wanakukopesha weee mpaka maji yakikufika shingoni ndiyo wanaanza kukukoromea sasa. Now they own yo ass!
 
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.

Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya,Ila cha ajabu Tanzania sijawaji liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza inajiensesha kwa anasa kubwa sana.

Raisi anacho jua ni kusisitiza tulinde amani ili ili wao waendelee kula kwa anasa.
deni la Taifa ni himilivu, Tanzania inalipia madeni yake vizuri na uchumi wake ni imara na unakua na kustawi vizuri., na ndio maana inakopesheka kirahisi kwasabb mikopo hiyo ya maendeleo inatekeleza kweli miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi wake, ukilinganisha na nchi nyingine zenye matumizi makubwa mno ya kupindukia wanakopa kwajili ya kuendesha serikali 🐒
 
Back
Top Bottom