Kwanini IMF haishinikizi Tanzania kupunguza gharama za kuendesha Serikali kama inavyofanya nchi nyingine?

Kwanini IMF haishinikizi Tanzania kupunguza gharama za kuendesha Serikali kama inavyofanya nchi nyingine?

Keyboard warriors gang for life!!
images.jpeg-125.jpg
 
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.

Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya,Ila cha ajabu Tanzania sijawaji liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza inajiensesha kwa anasa kubwa sana.

Raisi anacho jua ni kusisitiza tulinde amani ili ili wao waendelee kula kwa anasa.
Serikali ya Tanzania ni mojawapo ya serikali ambazo ziko elastic kutokana na uimara na mfumo wa uongozi unaotokea kwenye mifumo ya chama cha mapinduzi. Tanzania is under the system. Not under a single leader sometimes call themselves party leaders. Through GoT systems and CCM systems, an equilibrium is established. Inajisahihisha bila kuwa na tamaa iliyopitiliza.
 
S
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.

Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya,Ila cha ajabu Tanzania sijawaji liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza inajiensesha kwa anasa kubwa sana.

Raisi anacho jua ni kusisitiza tulinde amani ili ili wao waendelee kula kwa anasa.
Shetani ni fala sana .
Shetani ni kiumbe cha hovyo sana.
 
Hakuna mtu atatoka nje, atutengenezee mambo hapa. Tulishawafurusha ukoloni, siyo hawaoni wanaona, walishatudharau Waafrika. Tuna rasilimali nyingi, kutwa kukopa.

Kama tuliweza kujikomboa kwa wakoloni weupe, mfupa huu hapa tujikomboe na kwa mkoloni mweusi. Watanzania kupigania, kupunguza matumizi makubwa serikalini si kuvunja amani. Tunatishwa na vitu visivyotishika. Uoga ndiyo umasikini wetu.
 
Kama Kenya walipewa hayo masharti how did they get to this point?
Kenya walikopa madeni makubwa kutoka China wakashindwa kulipa,ndipo wakaigeukia IMF na World Bank kuomba mikopo zaidi ili wapunguze deni la China.Kama kawaida IMF na World Bank wakawapa "msaafu"wa masharti kibao,nasikia na ile Financial Bill ilitungwa na IMF. Matokeo ndio haya.

Kwetu baada ya vita vya Kagera hao IMF na World Bank walitupa masharti magumu lakini Raisi wakati ule Mwalimu Nyerere aliyakataa kata kata.
Lakini IMF na World Bank walimuona Mwalimu kama msaliti aliyekuwa ana ushawishi mkubwa kwenye nchi nyingi hasa dunia ya tatu,wakamtengenezea vimeo ili wamkwamishe kwa kila aina.
Kweli Mwalimu alipambana lakini ngoma ilikuwa nzito akaona heri aachie ngazi ya uraisi.

Yawezekana kwa sasa wako darling wa Tanzania kwani wanajua investment kubwa za madini,gesi asilia, chuma,mkaa wa Mawe,Madini ya Nickle huko Kabanga,Gesi ya Helium huko Sumbawanga,Madini ya Uranium,Graphite,Migodi ya Dhahabu,Tanzania kuzunguka nchi nyingi na miradi kibao ya miundo mbinu ya Umeme, Barabara,Reli,Meli wanajua kuna siku huyo Tanzania atapasua nao watapata maokoto.
Usishangae IMF na World Bank wakailegezea masharti Tanzania kwa makusudi na kumpa mihela kibao ili Kenya waone wivu ili wasalimu amri.
 
Hao huwa wanangoja maji yafike shingoni ndio waje wawashike p*umbu.

Walishalazimisha SAP huko nyuma, actually ni moja ya sababu za mwalimu kung'atuka. Aliona bora akae pembeni kuliko kutekeleza masharti ya hao mashetani.
 
Back
Top Bottom