BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha?IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao...
SHida ni kwamba wao Serikali badala ya kubana matumizi wanapambana na Tozo na hilo ndio lime wa cost Kenya.Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha? Kenya wangekuwa wamepunguza matumizi kwa kupunguza matumizi ya kifahari ya serikali wala wananchi wasingeandamana. Badala yake waliongeza malipa ya wanasiasa na kuongoza kodi nyingi.
Huenda wametekeleza kwa kuweka hizo tozo kila sehemu. Kenya nao si ''walipunguza'' gharama kwa kuanzisha kodi nyingi kwa raia ndiyo maana vijana wakakiwasha? Kenya wangekuwa wamepunguza matumizi kwa kupunguza matumizi ya kifahari ya serikali wala wananchi wasingeandamana. Badala yake waliongeza malipa ya wanasiasa na kuongoza kodi nyingi. Nasikia Ruto ameondoa tena malipo waliyokuwa wameweka kwa ajili ya mke wake. Hapa kwetu sisi tunacheka tu.
Serikali nyingi zinakujaga kushtuka mambo yameshakua magumu,,, na hao wanaotoa mikopo sio maboya hasa kwa nchi za dunia ya 3, wanakutengenezea mazingira ya wewe kujifunga kwao, pale utakaposhindwa kulipa ndo wanapata nguvu ya kuingiza maamuzi ya ajabu kwenye serikali yako kama ilivyotokea Kenya na ule muswada , ni lazima mwishoni ufanye maamuzi magumu tu kulipa mkopo,,,,kuna wengine utafidia kwa rasilimali kuna wengine ndo hivyo wataingilia sera na mifumo ya serikali yako, kiufupi unarudi tena kutawaliwaSHida ni kwamba wao Serikali badala ya kubana matumizi wanapambana na Tozo na hilo ndio lime wa cost Kenya.
Tanzania Serikali haitaki kusikia kitu kinaitwa kubana matumizi wao wanacho taka kusikia ni kuongeza tozo tu.
Aisee. Wakenya wapewe maua yao. Salute. Pia Ruto apongezwe kwa kukubali kakosea na kuchukuwa measure. Sisi tunaambiwa yeye ni chura kiziwi na sisi tunacheka.
Wewe huoni tunajitakia wenyewe? Kwa nini mnapeleka lawama kwa watu ambao wanatengeza maisha yao na ya watoto wao? Nyie si mna mama yenu anayeupiga mwingi? Kilio cha mtu mzima ni cha nini tena sasa?Serikali nyingi zinakujaga kushtuka mambo yameshakua magumu,,, na hao wanaotoa mikopo sio maboya hasa kwa nchi za dunia ya 3, wanakutengenezea mazingira ya wewe kujifunga kwao, pale utakaposhindwa kulipa ndo wanapata nguvu ya kuingiza maamuzi ya ajabu kwenye serikali yako kama ilivyotokea Kenya na ule muswada , ni lazima mwishoni ufanye maamuzi magumu tu kulipa mkopo,,,,kuna wengine utafidia kwa rasilimali kuna wengine ndo hivyo wataingilia sera na mifumo ya serikali yako, kiufupi unarudi tena kutawaliwa
Povu la nini blaza kwahio na mm nikijkunga kua keyboard warrior ndo nitabadili mambo?Wewe huoni tunajitakia wenyewe? Kwa nini mnapeleka lawama kwa watu ambao wanatengeza maisha yao na ya watoto wao? Nyie si mna mama yenu anayeupiga mwingi? Kilio cha mtu mzima ni cha nini tena sasa?
Kama kweli huyu mzee aliyasema haya maneno basi labda alikuwa nabii...Aisee. Wakenya wapewe maua yao. Salute. Pia Ruto apongezwe kwa kukubali kakosea na kuchukuwa measure. Sisi tunaambiwa yeye ni chura kiziwi na sisi tunacheka.
Tororooooo. Kama huwezi kubadili mambo mbona unalialia na hao wakopeshaji? Keyboard warrior gang for life!!!Povu la nini blaza kwahio na mm nikijkunga kua keyboard warrior ndo nitabadili mambo?
Jibu zuri kabisaTukipata hela sisi watu wa serikali tunakula inashuka chini hutaki zishuke chini?
Nimelia kwako mbona una shobo??sasa unanililia mie ndo nilikukataza ukaandamane??Tororooooo. Kama huwezi kubadili mambo mbona unalialia na hao wakopeshaji? Keyboard warrior gang for life!!!
deni la Taifa ni himilivu, Tanzania inalipia madeni yake vizuri na uchumi wake ni imara na unakua na kustawi vizuri., na ndio maana inakopesheka kirahisi kwasabb mikopo hiyo ya maendeleo inatekeleza kweli miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi wake, ukilinganisha na nchi nyingine zenye matumizi makubwa mno ya kupindukia wanakopa kwajili ya kuendesha serikali 🐒IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Africa zinazo kopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.
Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya,Ila cha ajabu Tanzania sijawaji liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza inajiensesha kwa anasa kubwa sana.
Raisi anacho jua ni kusisitiza tulinde amani ili ili wao waendelee kula kwa anasa.
Keyboard warriors gang for life!!Nimelia kwako mbona una shobo??sasa unanililia mie ndo nilikukataza ukaandamane??