Kwanini Inakuwa Hivi?

Kwanini Inakuwa Hivi?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Habari za Asubuhi wanandugu,

Jamani iko hivi mimi hapa mwenzenu kuna sabuni au mafuta nikitumia natokwa na vichunusi/vipele flani hivi na nikitumia sabuni mf rungu/family vipele hivo huisha

Ni kwanni inakuwa hivo?
 
Kuna composition za hizo sabuni haziendani na ngozi yako
 
Back
Top Bottom