Kwanini inasemekana tunatakiwa kuwaepuka wanawake au mabinti wanaojilipia kodi kwa utafutaji wao binafsi?

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
Nimekuwa nikisikia sana mitaani toka kwa watu mbalimbali kuwa sio poa kudate na mwanamke anayejilipia geto na kuishi kwa kipato chake binafsi, vipi naomba mniambie huwa ni kwanini?

Wana changamoto gani maana mi nafikiri ukidate nae hakupigi mizinga kiviiile pia anakua amekomaa kila angle.

FB_IMG_17751905206416991.jpg
 
View attachment 3674121
They are Miss Independents
 
Back
Top Bottom