RSM Dominik
JF-Expert Member
- Apr 3, 2026
- 207
- 561
Vya bure vinaponza utapigwa PAIPUok
They are Miss IndependentsNimekuwa nikisikia sana mitaani toka kwa watu mbalimbali kuwa sio poa kudate na mwanamke anayejilipia geto na kuishi kwa kipato chake binafsi, vipi naomba mniambie huwa ni kwanini?
Wana changamoto gani maana mi nafikiri ukidate nae hakupigi mizinga kiviiile pia anakua amekomaa kila angle.
View attachment 3674121