Kwanini inauma?

kama huwezi kumwacha aende ni bora ukakaa nae mezani kwa mazungumzo. kwasababu unaweza fikiri kwamba utapata kwingine kumbe huko kukawa kugumu zaidi ya hapo ulipo
 
time dear..
ipe muda...
kwani hakuna dawa ya haraka...
 
hapo red nimechoka loh?
 
tafuta mwingine maana ukizidi kuwa lonely utamrudia na utaendelea kupata maumivu
[h=1]"Real loss only occurs when you lose something that you love more than yourself" kama ulimpenda zaidi yako ji................................??????????????[/h]
 
wewe 'huumii' kuibiwa kiatu ambacho hukivai????
hapana naona tu wamenipunguzia uchafu maana sijaparta tu nafasi ya kupeleka jalalani? mtu akichukua kitu ushatupa kwenye dustbin utaumia?
 
hapana naona tu wamenipunguzia uchafu maana sijaparta tu nafasi ya kupeleka jalalani? mtu akichukua kitu ushatupa kwenye dustbin utaumia?

sio 'cha kutupa dustbin'
kitu kinafaa but hukitumii
 
sio 'cha kutupa dustbin'
kitu kinafaa but hukitumii
mmmh kwangu sijui kama nitaumia maana sitaona hata ile loss direct .maana sikivai useme nitakimiss kilikuwepo tu so i don think kama itanipain that much
 
The Boss iyo sentensi ya kiatu inahitaji maelezo kidogo.sioni vile unaeza umizwa kwa kuibiwa kitu usichokitumia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…