Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo red nimechoka loh?pole ni kawaida tu hayo 'maumivu'
kwa sisi wanaume huwa tunaumia kwa kuhisi 'tulipaswa kuwa makini kuchagua'
au kuona 'mabadiliko' mapema....
tunaumia kama ambavyo unaumia mwizi akija kwako na kukuibia 'nguo ambayo huivai'....
na pengine ulitaka kumpa mtu....unaumia tu...
hapo red nimechoka loh?
tafuta mwingine maana ukizidi kuwa lonely utamrudia na utaendelea kupata maumivuNilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
hapana naona tu wamenipunguzia uchafu maana sijaparta tu nafasi ya kupeleka jalalani? mtu akichukua kitu ushatupa kwenye dustbin utaumia?wewe 'huumii' kuibiwa kiatu ambacho hukivai????
hapana naona tu wamenipunguzia uchafu maana sijaparta tu nafasi ya kupeleka jalalani? mtu akichukua kitu ushatupa kwenye dustbin utaumia?
mmmh kwangu sijui kama nitaumia maana sitaona hata ile loss direct .maana sikivai useme nitakimiss kilikuwepo tu so i don think kama itanipain that muchsio 'cha kutupa dustbin'
kitu kinafaa but hukitumii