Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
na kwanini vitabu vingine vya injili havijajumuishwa kwenye bible?
pili nimekua nikisoma tu bible ila kuna vitabu vya watu wengi ambao ndio waliokua wanafunzi wa yesu lakini je ni wote walioteuliwa kuandika injili na yesu? kwa maana nyingine ni nani aliyeteuliwa na yesu mwenyewe aandike injili?
natumaini maswali yangu yameeleweka kama nitakua nimekosea mahala basi turekebishane kwa kua wote tupo kujifunza naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kupata hayo majibu ya hayo maswali husika ufia dini tuweke pembeni
nawasilisha