mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Ni kweli kabisa QURAN imeweka wazi dhana ni jambo baya kwa mfano mimi sijui wana wa ZATU walikuwa wangapi kati ya hawa?
EZRA 2:8
" Wana wa ZATU , mia kenda arobaini na watano (945)
NEHEMIA 7:13
" Wana wa ZATU mia nane arobaini na watano"(845)
haya tuambie kwasababu DHANA ni mbaya sasa kati ya EZRA au NEHEMIA nani ametaja idadi sahihi ya wana wa ZATU waliotoka utumwani babiloni kurudi Yerusalem? tutoe hofu tupe jibu sahihi maana nasikia wewe unaongozwa na roho mtakatifu
UNAONA UNAVY0 DHANIA MIMI MAMBO YA UMMA WA MUSA YANANIHUSU [emoji15] [emoji12] [emoji117]