Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?


UNAONA UNAVY0 DHANIA MIMI MAMBO YA UMMA WA MUSA YANANIHUSU [emoji15] [emoji12] [emoji117]
 
Mkuu hivyo ndivyo unavyoelewa lakini hakuna ushahidi kuwa aliandika Musa kama unao tuwekee hapa... Mfano lugha,nahau,misemo iliyotumika ni ya kipindi cha wayahudi wakiwa uhamishoni labda nisuggest ukasome kuhusu nadharia ya wanatheolojia inaitwa DOCUMENTARY HYPOTHESIS ambayo inaeleza jinsi gani kitabu cha mwanzo kiliandikwa na watu 5 tofauti kabisa ambao waliishi vipindi tofauti.... Lakini mpaka navyoongea hakujawahi kuwepo kitabu cha mwanzo au kutoka kabla ya 600 BC ndio maana nikauliza kama una ushahidi musa aliandika kitabu cha mwanzo tusaidiane hapa alikiandika lini na wapi. Hiyo ya kusema aliandika alafu wakaja kuiweka kisomi ni assumptions tu lakini nafahamu ushahidi huna maana hakukuwahi kuwa na KITABU CHA MWANZO au KUTOKA kabla ya 600 BC hicho ndio nataka kifahamike.

The Documentary Hypothesis Evidence
 
Wachangiaji wengi wanaipinga kwa kule kushabihiana na QURAN , lakini bado sijaona hoja ya msingi
Ni kweli na hivyo ndivyo ilivyo! Tunaamini dini zilizokuja na wajumbe wa ALLAH hazipingani. Mengine ni usanii tu.
 
Mimi sijadili kukosewa kwa injili mkuu, mimi najadili hoja zako unazotumia kuikataa injili ya barnaba ,zinaonekana ni za upande mmoja ,kwasababu hata hivyo vitabu vingine vinamakosa lakini mbona unaviamini? iweje makosa ya barnaba wewe ndio uyatolee macho tu
 
UNAONA UNAVY0 DHANIA MIMI MAMBO YA UMMA WA MUSA YANANIHUSU View attachment 895238
Mimi si dhanii nafahamu wewe unaongozwa na roho mtakatifu ebu mwambie akuonyeshe kati ya EZRA au NEHEMIA nan kasema kweli? kama roho mtakatifu kashindwa kujua mkweli nani pia ruksa kusema
EZRA 2:8
"Wana wa ZATU ni mia kenda arobaini na watano(945)
NEHEMIA 7:13
" wana wa ZATU mia nane arobaini na watano(845)

ebu tuambie kati ya hawa wawili yupi kasema kweli? au roho anaekuongoza kwenye kweli yuko likizo
 
Mimi nimepitia kurasa za injili ya Barnabas Wee imeandika mfumo halisi wa Maisha ya yesu kua desturi yake alikua anachukua udhu na kuingia msikitini sasa ttzo linaanzia hapo pia yule ni mwanafunzi wake na sio Paulo. Paulo kuandika Baada ya miaka 4 kufa kwa yesu anadai kaota ndotoni
 
Basi nikujibu hivi,
Injiri ambayo haina makosa kabisa ni.
1. Injiri ya Barnaba,
2. Injiri iliyoandikwa kwenye Qurani tukufu.
Injiri nyingine zote zinamakosa na hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Vipi mkuu, masudi mushahala, jibu zuri si ndio hilo kaka ?
 
Hili ndio tatizo lako mtoa mada ndio anaweza kufanya conclusion , ila mimi na wewe ni Wachangiaji tu, tunaweza elewana kutokuelewana hii inakubalika,injili ya barnaba itabaki hivyo ilivyo, ila ukiitoa kasoro jipange kweli kweli , sababu utakazotoa lazima zijadiliwe ili usije ukawa BIASED
 

unaendelea kudanganya na kudhani [emoji12] toka lini wewe mtoto wa mshahara unayo ilimu ya Roho [emoji350] [emoji344] [emoji12] hivi kisa cha kudandia dandia nini [emoji350] [emoji344] hamu, fani ya wazimu au kujionyesha unajua wakati hujui kwamba hujui...[emoji12]
 
Kwahiyo unakubali kuwa kuna aliyoyafanya Yesu ambayo yangeandikwa usingeyaamini na wala yasingekusaidia kufuzu?
Ukishiba utaendelea kula [emoji350] [emoji344] hakuna jema jipya, na hakuna pia uovu mpya [emoji53]
 
msikiti gani aliingia Yesu [emoji344] [emoji12]
 
Ujajibu swali la msingi unaanza kutoa vijembe, wewe unayefahamu mambo ya roho ebu tuambie kati ya EZRA au NEHEMIA nani kasema kweli? mwambie roho akusaidie kukupa jibu sahihi
EZRA 2:8
"Wana wa ZATU ,mia kenda arobaini na watano(945)
NEHEMIA 7:13
"Wana wa ZATU, mia nane arobaini na watano(845)"

Haya tujulishe kwa uwezo wa roho unayemlilia kila siku
 
Ukishiba utaendelea kula [emoji350] [emoji344] hakuna jema jipya, na hakuna pia uovu mpya [emoji53]
Swali langu ni hili kumbe kuna mambo mengi alifanya yesu ambayo ayakuandikwa kwasababu hamtayaamini wala hayamisaidii kufuzu?
 

Elimu ya Roho huna dogo [emoji53] ingekuwa unayo hayo ninayo kufundisha ni through HOLY SPIRIT [emoji4]
 
Elimu ya Roho huna dogo [emoji53] ingekuwa unayo hayo ninayo kufundisha ni through HOLY SPIRIT [emoji4]
Ndio uniambie kwa elimu yako wewe ya roho kati ya EZRA au NEHEMIA nani kasema kweli? inapotajwa takwimu maana yake anaweza kuwa sawa EZRA au anaweza kuwa sawa NEHEMIA lakini hawawezi kuwa sawa wote, hivyo tupe jibu roho wako anakwambia nani sahihi hapo au ni usanii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…