Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet. kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake. Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika. Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure? Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa taifa ambao umejengwa na serikali.
Mnaonaje internet ikawa bure?
Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet. kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake. Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika. Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure? Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa taifa ambao umejengwa na serikali.
Mnaonaje internet ikawa bure?
Wenye miundombinu watalipwaje, maana ama utumie internet via fibre optics ama satelite kama Stalink ya bwana Elon Musk. Yote hayo yanahitaji pesa kutengeneza, kutunza na kuendelea uvumbuzi na kusambaza huduma.Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet.
Kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake.
Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika.
Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure?
Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa Taifa ambao umejengwa na Serikali.
Mnaonaje internet ikawa bure?
Hii internet ya mkongo si miundombinu ni ya serikali. Ifanye kama ilivyo barabara serikali inagharamia lakini zinarahisisha shughuli za uchumi. Tungekuwa na interent ya bure, serikali ingeweza kupata pesa nyingi kuliko ilizowekeza. Tungekuwa na netflix yetu na serikali ingepiga kodi humo, kwa ujumla kungekuwa na streaming services nyingi sana ambazo serikali ingepiga pesa kupitia kodi. Hapo bado biashara na huduma za mitandaoni, elimu ya online, afya, vyuo nk. Mwalimu anafundisha online, daktari anafanya consultation online, mwanasheria anaonana na mteja online nk.Wenye miundombinu watalipwaje, maana ama utumie internet via fibere optics ama satelite kama Stalink ya bwana Elon Musk. Yote hayo yanahitaji pesa kutengeneza, kutunza na kuendelea uvumbuzi na kusambaza huduma.
Ni keeli gharama za mwanzo ni kubwa, lakini hata barabara zina gharama kubwa lakini tunatumia bure sababu zinarahisisha shughuli za kiuchumi.Internet inhitaji uwekezaji mkubwa kwenye miundo mbinu kuifanya kufanya kazi. Yahitaji watu kuhakikisha inafanya kazi.
Yahitaji umeme, masafa (frequencies) na bado TOZO pendwa za kizalendo tokea kwake bwana Madelu.
Inakuwa vipi bure hapo mkuu?
Inawezekana. Tena indirect return yake inaweza kuwa kubwa kuzidi uwekezaji. Tunaweza kuwa nchi ya kwanza kutoa internet bure. Yaani internet inakuwa ni sehemu ya mahitaji muhimu ya binadamu. Na dunia ndiko inakoelekea, internet itakuwa sehemu ya mahitaji ya binadamu.Naunga mkono hoja
#lakini hilo haliwezekani[emoji18]#
Labda CCM wawe wammekufaWanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet.
Kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake.
Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika.
Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure?
Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa Taifa ambao umejengwa na Serikali.
Mnaonaje internet ikawa bure?
Hii siyo internet bure. Ni huduma ya internet inayolipiwa na serikali.Inawezekana..
Hatujapata Viongozi serious..
Free with fi inatakiwa kila mji..
Na serikali irushe satellite yake ..
Rwanda Wana satellite 9..
Sisi hata moja Tu ya kwetu inatushinda..
Mkuu mkongo wa taifa unaenda kuungwa kwenye fibre optic inayopita baharini kuunga mabara mfano SeaCom, na hao wanalipwa ndiyo wenye hizo cable zinazopita baharini na kutandaza hizo cable baharini ni gharama sana, pia kuzimaintain likitokea tatizo ni gharama kweli. Hivyo internet ni tofauti kabisa na barabara, mkonga wa taifa unaunganishwa kwenye cable zinazopita baharini na zinamilikiwa na makampuni binafsi ya ulaya na marekani.Hii internet ya mkongo si miundombinu ni ya serikali. Ifanye kama ilivyo barabara serikali inagharamia lakini zinarahisisha shughuli za uchumi. Tungekuwa na interent ya bure, serikali ingeweza kupata pesa nyingi kuliko ilizowekeza. Tungekuwa na netflix yetu na serikali ingepiga kodi humo, kwa ujumla kungekuwa na streaming services nyingi sana ambazo serikali ingepiga pesa kupitia kodi. Hapo bado biashara na huduma za mitandaoni, elimu ya online, afya, vyuo nk. Mwalimu anafundisha online, daktari anafanya consultation online, mwanasheria anaonana na mteja online nk.
Internet ya bure inaweza fungua mambo na ubunifu wa kushangaza sana kwenye uchumi.
Kumbe nchi nyingi wanafanya hizi mambo. Na sisi tunaweza weka kwenye miji mikubwa. Labda kuanza majiji, CBD zetu zote ziwe na free internet. Na kuwe na hotspot sehemu mbalimbali za jiji au jiji zima. Hii ishu hata halmashauri za majiji nafikiri zinaweza fanya. Mbona vyuoni kuna free wifi?
Top 20 Countries With Free Wifi: Stay Connected To Your Online World On The Go!
These 20 best countries with free wifi like Lithuania, Croatia, Estonia, Ireland, UK, Denmark, and Belgium are changing the face of traveling for everyone!traveltriangle-com.cdn.ampproject.org
Hii siyo internet bure. Ni huduma ya internet inayolipiwa na serikali.
Unaposema miundombinu ya internet ni kama ipiClearly hauelewi vizuri internet ni nini. Mkongo wa taifa na ka kipande kadogo sana kwenye hiyo global network. Sehemu kubwa ya miundombinu ya internet inamilikiwa na makampuni binafsi, ni lazima ulipie ukitaka kupitisha data zako.