Kwanini iPhone zimekaa kikike kike?

Kwanini iPhone zimekaa kikike kike?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.

Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika.

Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu mwenyewe simu yake kajaza mavideo ya ambaruti, sijui hata wanataka security gani.

Kila toleo jipya likitoka wanavamia kwa pupa, ati wanaenda na wakati!

Mwingine anauza genge la nyanya, anang'ang'ana na iphone mpaka anapata madhara kule nanihii.

Hizi iphone ZIANGALIWE upya. Zinaleta utaahira.

Unakuta dume limejikwatua na iPhone linajisnapchat ati!
 
Back
Top Bottom