mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Bichwa komwee halafu nikisema wewe ni academician unasema nadanganya. Hoja yako umeileta kitaalamu mno, naweza kuwa miongoni mwa wachache tulioelewa. Jamaa mjanja sana wewe!.[emoji38]Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.
Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika.
Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu mwenyewe simu yake kajaza mavideo ya ambaruti, sijui hata wanataka security gani.
Kila tokeo jipya likitoka wanavamia kwa pupa, ati wanaenda na wakati!
Mwingine anauza genge la nyanya, anang'ang'ana na iphone mpaka anapata madhara kule nanihii.
Hizi iphone ZIANGALIWE upya. Zinaleta utaahira.
Unakuta dume limejikwatua na iPhone linajisnapchat ati!
Anyway! Ni sahihi kabisa. Huenda wakawa na agenda yao ya siri labda kwenye hilo.