BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Mwingine anauza genge la nyanya,
Hivi Kuna wanaume wanatumia iPhone???????
Labda wanaume wa dasalama
Tuliza Komwe bichwa 😂😂😂😂😂😂Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu mwenyewe simu yake kajaza mavideo ya ambaruti, sijui hata wanataka security gani
wenye iPhone wana viranga sanaTuliza Komwe bichwa 😂😂😂😂😂😂
Wa mikoani nao wamo siku hiziHivi Kuna wanaume wanatumia iPhone???????
Labda wanaume wa dasalama
Mna hilaaiphone ndo kama v8 ya simu, ukiwa nayo unapata stutus flani,
lazima waringe
afu sio ya kike, huku bongo zinamilikiwa sana na wadada
mimi nina hila na wenye iphone X kushuka chini afu wanaringa😂Mna hilaa
wadada wanapenda sana MA-IPHONE! Wanakurupukia kwa pupa.iphone ndo kama v8 ya simu, ukiwa nayo unapata stutus flani,
lazima waringe
afu sio ya kike, huku bongo zinamilikiwa sana na wadada
ushamba ni kuringa nazo, kuwa nazo si ushambawadada wanapenda sana MA-IPHONE! Wanakurupukia kwa pupa.
Sijui kwanini??? Ushamba sana.
Sa kwann unakaa mabondeni 🤣🤣🤣Msinivuruge nawaza mvua hii na batii linavuja... [emoji3][emoji3]
Aifonii Ina nn dadake, mshaanza [emoji1787]
X gani kwanza?mimi nina hila na wenye iphone X kushuka chini afu wanaringa😂
zote, na kale ka SE.... wameachwa mbali sana na nyie wa 11 kuendeleaX gani kwanza?
Kuna Xs max
Xr
Xs haka hata bure usichukue
x plain sijui