Kwanini iPhone zimekaa kikike kike?

Bichwa komwee halafu nikisema wewe ni academician unasema nadanganya. Hoja yako umeileta kitaalamu mno, naweza kuwa miongoni mwa wachache tulioelewa. Jamaa mjanja sana wewe!.[emoji38]

Anyway! Ni sahihi kabisa. Huenda wakawa na agenda yao ya siri labda kwenye hilo.
 
I am BICHWA MOKWE THE BOSS

Nimeishia la saba mkuu πŸ˜‚πŸ€£
 
Kama zimekaa "kidada dada" basi hizo ni kwa wanaume. Au wewe unapenda vikaka kaka?
 
Nadhani kuna madini yanalegeza mikono ukishika simu hiyo maana huwa hadi masela wanalegeza mikono na mapozi yanakuwa ya kikekike.
 
Simu wanawake ni i phone na samsung. Nikiona hivyo nabadili simu zisizo na shobo za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…