Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Itakuwa ni ukosefu wa elimu bora.Iran kuna wayahudi wengi tu.
Hivi Tanzania tatizo ni ujinga au ukosefu wa elimu bora ? Mbona watu wengi wana ukosefu wa maarifa machache tu hata yasiyo na uzito ?
Kumfunga spidi gavana kichaa mwny silaha siyo kumpatia silaha kichaa mwingine, bali ni kumvizia huyo kichaa na kumpokonya silaha.Hao ni vichaa wenye hafadhali kuna kicha mmoja aliyekomaa anaendeleza mauaji ya kimbari pale Palestine na anakingiwa kifua na vichaa wenzake wenye mabomu kama yake ili kuendeleza mauaji ya kimbari.
Najua mabomu ya Nyuklia hayawezi kuangamizwa sasa nataka kuona anatokea wa kumfunga speed governor huyu kichaa anaye endeleza mauaji ya kimbari hapo Palestine.
Sababu muhimu ni kwamba Usa hawezi kumcontrol Iran, kama ni Udini Pakistan asingekua na Nyuklia, Pakistan wana Dini na Makundi kushinda hata Iran.Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Iran ndio anakomesha makundi ya Ugaidi.Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu
Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
Kabisa,waislamu sio watu wa kuwaamini maana wanaendeshwa sana na mihemko ya kidini na wanachuki mno kwa wasio waislamu hivyo hawa ni kubinya haswa ili wasivuruge amani ya dunia.Mtu mwenye anaendeshwa na mihemko ya kidini apewe nyuklia si ndio atabonyeza.
Kwa hiyo kuwa rafiki na magharibi ndio wise,sababu kuu ya Pakistan kuwa na nuke ni adui yake mkuu ni India ana nukes vivyo hivyo adui mkuu wa wairan ni waisrael na pia nchi za magharibi wanaindama sana iran shauri ya utajiri wa oil and gas ambazo haziko ktk himaya yao baada ya mapinduzi ya kiislamu na kuwa na ayatollah kama mkuu wa. nchi , kumbuka wairan sio kuwa hawawezi kuwa na nukes hawajataka ila wakiamua wanatengeneza na wanaitangazia dunia kuwa wananuclear dunia itawafanya nini zaidi ya vikwazo kama vya korea kaskazini na kwa iran ni ngumu vikwazo kufaulu shauri ya gesi na mafuta na economy divercity na wamesurvive miaka 40 ya vikwazo hamna jipya hapo, sema wako werevu na pia wanaheshimu international law ,Pakistani wako wise zaidi na ni rafiki na magharibii, Irani kuna mtu anaitwa supreme leader huyo anajua dini tu, na ndiye anayweza toa final ruksa ya ku ya rusha ma nuklia
China, Russia, UK even Israel(back then secretly) zimemiliki silaha kitambo. India waliamua tu kibabe ili wawe 'a force to be reckoned with' na aftermath ya hilo ni Pakistan kuona vipi hasimu wao awe na nuclear wao wasiwe nayo hivyo wakatengeneza huku maelezo yao yakiwa kama India wana nuclear arsenals nao lazima wawe nazo to balance the equation.Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
1.Ni ukweli bila shaka ukijitangaza uadui na USA na allies wake maisha ya kiuchumi yanakuwa ni magumu, uchumi wa Iran unaenda kudondoka vibayaKwa hiyo kuwa rafiki na magharibi ndio wise,sababu kuu ya Pakistan kuwa na nuke ni adui yake mkuu ni India ana nukes vivyo hivyo adui mkuu wa wairan ni waisrael na pia nchi za magharibi wanaindama sana iran shauri ya utajiri wa oil and gas ambazo haziko ktk himaya yao baada ya mapinduzi ya kiislamu na kuwa na ayatollah kama mkuu wa. nchi , kumbuka wairan sio kuwa hawawezi kuwa na nukes hawajataka ila wakiamua wanatengeneza na wanaitangazia dunia kuwa wananuclear dunia itawafanya nini zaidi ya vikwazo kama vya korea kaskazini na kwa iran ni ngumu vikwazo kufaulu shauri ya gesi na mafuta na economy divercity na wamesurvive miaka 40 ya vikwazo hamna jipya hapo, sema wako werevu na pia wanaheshimu international law ,
Ajabu ya mwanaadam kwa namna anavyoipenda dunia!Wataifyeka dunia nzima kwa imani za kipuuzi
Iran hakutangaza wala hakuomba uadui na marekani ila shida kuwa na utawala wa kiislamu hilo ndio marekani hataki hususani utawala ukiwa na misingi ya dini huwa inakataa dhulma na ufisadi1.Ni ukweli bila shaka ukijitangaza uadui na USA na allies wake maisha ya kiuchumi yanakuwa ni magumu, uchumi wa Iran unaenda kudondoka vibaya
2. The Iranian economy has crumbled drastically over the past year, due to chronic mismanagement, corruption and international sanctions. The middle class, particularly women, is suffering the most. Within a year, the Iranian rial has lost over 50% of its value.
3. Nuke programs za Iran zimekuwa dismantled na Israel kwa mfululizo, so they will never achieve to be a nuclear power like the rival neighbour Israel
4. Israel defence budget (30 Trn USD) ni mara mbili ya Iran (15 Trn USD), ndyo maana wanaweza choose target wanayoitaka ndani ya Iran, wakati shambulio la Iran kwa Israel huwa siyo smart, ni indiscriminate carpet bombings
Kama israeli anakalia kimabavu niambie Yesu kristo aliposhuka miaka 2000 alishukia israeli ya wapi au sema israeli kwao ni wapiUchambuzi famba sana
Hata pakistani ilikuwa hivo hivo walitaka kushambulia wakawekewa ndege za one way kwenda kufumua dimona mutuala assured destruction wakachill.
Shida ni Israel nchi zote zenye asili ya kiislamu au ambazo ni pro -palestina ni tishio kwa israel kwa maana siku moja zinaweza kuwasaidia wapalestina kwa kuwa israel anakalia hapo alipo kimabavu ilikuwa hivyo kwa Saddam hussein ambaye alikuwa hafadhili kundi lolote na imekuwa hivyo kwa Libya hivyo israel anafurahi akiwa yeye ndio mwenye nguvu kubwa ya kijeshi eneo hilo kuliko wenzake akitoa mbabe lazima atamletea visa vingi ili kujihakikishia usalama wake hivyo anapenda mataifa ambayo ni pro usa maana anayaweza kuyamudu ila mataifa yenye misimamo huru hayapendi hata kama hayana nguvu kuliko yeye mfano syria au algeria etc.
Kwa sababu haitakubali kuonewa tenaNaomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
makundi ya magaidi yepi?Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu
Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
Mwaka 1968 Umoja wa mataifa waliandaa mkataba unaozuia nchi zote kuzalisha silaha za nuclear na Iran walisaini. Mkataba huo uliwataka wenye hizo silaha wasizalishe zaidi na wasiokuwanazo wasizalishe/wasimiliki kabisa.Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Shida kubwa nadhani hawana akili ya kuzitumia. Sioni kama kuna sababu nyingine za msingi.Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Korea Kaskazini siyo tishio kwa Marekani wala Ulaya. Silaha zake ni kwa ajili ya kujilindaKorea kaskazini?