Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

😛😀kumbe usalama wa Ayatollah Ruhoulla Khomeni ulikuwa ni kukimbilia kwa ma kafiri ( secular democracy) kuliko fellow Islamic countries ?, now it makes sense
 
Ayatollah Khomen alikuwa anakula bata kwa ma kafiri Paris, na alisaidiwa na serikali za wazungu kurudi Irani kufanya mapinduzi😛
 
eti USA na Israel wanashida na UISLAM😀, serikali ambazo ni advanced hawana kichaka cha dini kama agenda ya serikali, it the same hata kwa baadhi ya nchi na falme za kiarabu, wanaishi secular life , eg Morocco, UAE, Qatar, Egypt, na ni maadui wa Iran, Yemen, Afghanistan
 
Ayatollah Ali Khamenei kwa sasa. Ila muasisi wake ni Ayatollah Khomeiny aliyefanya mapinduzi ya mwaka 1978/9.

Imani ya Shia siyo hatari kwa Israel tu bali hata kwa Waislamu wa imani ya Sunni
yes I meant Ayatollah Khomeiny alikuwa exiled na akajivinjari Paris akiwa kijana kuliko kwenda kwa fellow iSLAMIC States😀
 
Mkuu habari za Kijiweni mbaya sana....Nina misikiti miwili ambayo nina watu nafahamiana nao Marekani wana swali hapo....Halafu unaambiwa Marekani inapiga vita Uislamu! Wangekuja Marekani kwa wingi? Wengi ndio Kimbilio lao...

 
Ayatollah Khomen alikuwa anakula bata kwa ma kafiri Paris, na alisaidiwa na serikali za wazungu kurudi Irani kufanya mapinduzi😛

Mkuu kaishi Paris huyo! Wala hakuwa nchi yoyote ya Kiislamu...alikuwa huru kutumia Demokrasi ya Magharibi kusambaza propaganda zake....aliporudi akaitukana na kuisigina kwa kisigino....Picha hiyo chini akirudi toka Paris Mahamishoni...

 
Mkuu habari za Kijiweni mbaya sana....Nina misikiti miwili ambayo nina watu nafahamiana nao Marekani wana swali hapo....Halafu unaambiwa Marekani inapiga vita Uislamu! Wangekuja Marekani kwa wingi? Wengi ndio Kimbilio lao...

View attachment 3294113

Thanks mkuu, Arabic Muslims, IRANIANS included and particularly women are safer and free in USA than in their former ISAMIC countries
 
Kwa sababu atakuwa sawa na wao wanaomkataza. Wazungu wahuni flani hivi.
 
😛😀kumbe usalama wa Ayatollah Ruhoulla Khomeni ulikuwa ni kukimbilia kwa ma kafiri ( secular democracy) kuliko fellow Islamic countries ?, now it makes sense

Mkuu, hawa jamaa ni wa ajabu sana, angalia walivyoiharibu Uingereza, na nchi nyingine za Ulaya....Leo wanajuta....Huyu Khomeni aliamua kuishi Paris, wala hakwenda kuishi nchi za Kiislamu...Leo anasema natetea Uislamu....Hawa jamaa wana unafiki sana...

Akiwa Paris ..
 
Kwa sababu atakuwa sawa na wao wanaomkataza. Wazungu wahuni flani hivi.
ni logic tu, hata mamlaka ya local government haiwezi toa kibali kwa mentally unstable individual kumiliki silaha, Irani na mapanki wa North Korea hawatabiriki, mbona Pakistani wana mabomu ya nuclear lakini si jambo la kutisha kiusalama😀
 
huyu jamaa alisaidiwa na nchi za magharibi (USA and European allies) kufanya hayo mapinduzi ya kiisalamu, ila waislamu wameshasahau historia
 
View attachment 3294122
Thanks mkuu, Arabic Muslims, IRANIANS included and particularly women are safer and free in USA than in their former ISAMIC countries

Hivi Uislamu uchukiwe una nini hasa? Natika mahangaiko yangu US nikiwa shuleni na kuendesha Yellow Cab, nimewabeba Waislamu wengi kwenda kuswali katika Msikitu huu Richardson, Dallas, Tx, kuna wakati Parking ya Magari siku ijumaa ilikuwa ni kubwa, wal;ikuwa wameomba kupaki magari yao opposite na Msikiti kuna Kanisa! Halafu unasikia Marekani inapiga vita Uislamu....Unabikia unashanga...

 
ni logic tu, hata mamlaka ya local government haiwezi toa kibali kwa mentally unstable individual kumiliki silaha, Irani na mapanki wa ssouth korea hawatabiriki, mbona Pakistani wana mabomu ya nuclear lakini si jambo la kutisha kiusalama😀
Hiyo mentally unstable nani anaipima? Huwezi kuwa mpelelezi na hakimu kwa wakati mmoja.
 
Nuclear ni negotiation tool .. weapon .. na Iran Wanajulikana kwa kutokuwa na subra na mambo ya kipumbavu .. the west wanogopa huyo jamaa mwendawazimu qkiipata watakiona Cha mtemakuni
 
huyu jamaa alisaidiwa na nchi za magharibi (USA and European allies) kufanya hayo mapinduzi ya kiisalamu, ila waislamu wameshasahau historia
Kwani hawa vijana wa leo wanajua hata hilo Mkuu! Ayatollah Khomeini Aliwatumia mno Wazungu kupiga kelele Shah ni mbaya, hana Demokrasia maan Iran wakaingia mkenge! Waktoa Support! Mpaka leo wanajuta!
 
nachoshangaa hawa waislamu wetu, wakienda hizo nchi za kiaarabu/kiislamu, wanakuwa treated worse than stray dogs , lakini wakikimbilia magharibi kwa ma kafiri wana enjoy kuzidi
 
Hiyo mentally unstable nani anaipima? Huwezi kuwa mpelelezi na hakimu kwa wakati mmoja.

Vigezo ni vingi tu! Ayatollah Khomeni kaishi Paris akawazuga western anaenda kuanzisha utawala wa Demokrasi Iran, alipewa support kubwa mno! Alipofika huko futa vyama vyote, vikundi vyote vilivyokua pamoja kumpinga Shah! Huo ndio uka mwanzo wa kuonyesha hawa jamaa sio wa kuwaamini!
 
Hiyo mentally unstable nani anaipima? Huwezi kuwa mpelelezi na hakimu kwa wakati mmoja.
haipimwi na Mungu, inapimwa na fellow human beings, hayo ni mawazo huru na secular thinking, ila dini yenu hairuhusu, huyo suprime leader wa Irani mbona anatoa hukumu ya kifo nje ya mahakama(summary excution) kwa any perceived enemy of Islam within Iran or abroad, je yeye ni MUNGU wenu?, haya maisha yalikuwa enzi za medieval hata kwa wa pinga ukristo waliuwawa kikatili hadharani kwa amri ya mfalu au papa
 
nachoshangaa hawa waislamu wetu, wakienda hizo nchi za kiaarabu/kiislamu, wanakuwa treated worse than stray dogs , lakini wakikimbilia magharibi kwa ma kafiri wana enjoy kuzidi

Mkuu, waislamu ni very tricky, njoo Marekani uone vijana wa Kipalestina wanavyoishi! Vyuo wanavyosoma Mmarekani wa kawaida hawezi kusoma! Magari wanayoendesha utachoka! Huwaoni katika hizi kazio za wageni wengine! Jiulize pesa wanapata wapi! Hii toka Marekani, Western countries na sasa hivi ndumila kuwili Qatar! Pesa hizo zinawaleta huku na Scholarship kibao kuwasaidia! Lakini hawana shukrani hata kidogo!
 
exactly ni very tricky, hata wale washambuliaji wa Sept 11, walipata ujuzi wa wa kurusha ndege vyuo vya Marekani, na wali kuwa treated fairly lakini kumbe walikuwa na ajenda yao😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…